Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Ww ni mmoja wao....Watanzania wengi ujinga umekita mizizi ndo maana licha kusoma elimu ya kukariri lakini uwezo wa kupambunua mambo ni mdogo sana
nyani haoni......ndule
Ww ni mmoja wao....Watanzania wengi ujinga umekita mizizi ndo maana licha kusoma elimu ya kukariri lakini uwezo wa kupambunua mambo ni mdogo sana
Hii hoja yako ingekuwa na maana kama kungekuwa na mazingira saw a kati ya upinzani na chama tawala.upinzani wanafanyiwa kila aina ya uovu kupitia chama na nguvu ya serikali lakini wanaohangakiwa wapo wamelala usingizi wa pono.
Hapa neno ujinga nimetumia kupunguza ukali wa maneno,neno sahihi sio kuwa sisi ni wajinga bali ni wapumbavu na matahira.
Na wewe uko kwenye hiyo 80% right?80% ya watanzania ni mataahira
Kwenye hilo kundi wapo wazazi wako na ndugu zako wengi. Acha mihemko, chama cha saccos kisikufanye uwe punguani.80% ya watanzania ni mataahira
Kwenye maeneo wanapita wanaimba wanakosa support wanakwenda kulala wenyewe kwa kujiona ni wajinga wakubwa. Alafu nimegundua wengi hawajaenda kupiga kwa kukosa imani ila wengine tumekwenda ili kupinga udhalimu unaoendelea.Mpaka sasa bado hujayapata?
Yawezekana we ndo waajabu kulalamika maisha magum ukidhan serikali itakupa hellaNakubaliana na wewe watanzania ni ajabu sana sitegemei kuona wakilalamika tena maisha magumu..
Kwanza hatukutakiwa kupata uhuru mwaka 1961 ilibidi tupate 1995Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.
Kama kungekuwa na Wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio
Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.
Rai yangu, Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa sawa.
Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
Wewe kama raia umesaidia nn?wapinzani ulitaka wafanye nn? Wamesusa mara ngapi na kimetokea nn? Wamedai tume huru kwa muda gani?nn kimefanyika?Tusidanganyane hapa hamna mpinzani mwenye uchungu na mikakati ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Wanajua kabisaa kuwa mazingira ya uchaguzi hayako fair, kwa Nini agenda yao ya kwanza isiwe kuweka sawa mazingira ya upinzani nchini.kama katiba Mpya na time huru ya u hachaguzi? Tafsiri yake Wana uchu wa madalaka ndo maana wananunulika Kila siku
2. Upinzani Hauna agenda ya kitaifa. Tundu Lissu hakuja kuwa Rais, Bali amekuja kutafuta sababu ya watu Fulani washtakiwe au wawekewe vikwazo Fulani kwani kwa mazingira ya uchaguzi hamna usawa. Nakubali kuwa aliumizwa sana " asitumie watanzania kutafuta anacho kitaka". Asiyafanye maumivu yake kuwa ya Taifa zima
Tujipange kwanza
Tungepata mwaka huu kabisa....Kwanza hatukutakiwa kupata uhuru mwaka 1961 ilibidi tupate 1995
Hujaelewa mantiki ya mtoa hoja naona unataka fikra zako ndo ziwe za mtoa hoja poor you mzee.Hii post inaonyesha kuwa uligundua watu hawakupigia kura upinzani! Watanzania siyo wajinga, na ukiamini kuwa wamepiga kura kwa ujinga basi usiwaombe kura zao.
Kwa kuongezea tu watu wamewaelewa hao wapinzani hawana tija ni maneno tu na kujijazia ruzuku matumboni (kujitajirisha)hawatusaidii lolote sisi sio wajinga wajinga ni nyie mnaotetea madhalimu, tuonyesheni mpinzani aliyehamasisha jimbo lk kubadilisha maisha ya wakazi au upinzani ni mdomo tu?Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
Kwa kuongezea tu watu wamewaelewa hao wapinzani hawana tija ni maneno tu na kujijazia ruzuku matumboni (kujitajirisha)hawatusaidii lolote sisi sio wajinga wajinga ni nyie mnaotetea madhalimu, tuonyesheni mpinzani aliyehamasisha jimbo lk kubadilisha maisha ya wakazi au upinzani ni mdomo tu?
Tundu Lissu ni miongoni mwa mazao bora (kiubongo) ambayo Tanzania inaweza kujivuna nao. Tatizo ni watu wetu kutotumia bongo zao kulinda na kutetea maslahi ya taifa.Tusidanganyane hapa hamna mpinzani mwenye uchungu na mikakati ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Wanajua kabisaa kuwa mazingira ya uchaguzi hayako fair, kwa Nini agenda yao ya kwanza isiwe kuweka sawa mazingira ya upinzani nchini.kama katiba Mpya na time huru ya u hachaguzi? Tafsiri yake Wana uchu wa madalaka ndo maana wananunulika Kila siku
2. Upinzani Hauna agenda ya kitaifa. Tundu Lissu hakuja kuwa Rais, Bali amekuja kutafuta sababu ya watu Fulani washtakiwe au wawekewe vikwazo Fulani kwani kwa mazingira ya uchaguzi hamna usawa. Nakubali kuwa aliumizwa sana " asitumie watanzania kutafuta anacho kitaka". Asiyafanye maumivu yake kuwa ya Taifa zima
Tujipange kwanza
Wanajisahau sana hawa ikifika uchaguzi wanatuona wajinga kwanza katiba iwekwe 5 years tu 10yrs for useless people wanaturudisha nyuma sana km arusha tumerudiii reverse ya hatariiiiSawa kabisa, angalia kwa mfano tu Halima Mdee (Kawe) miaka 5 yote anacheza tu twitter, facebook na kuzunguka Mahamakani kwa maswala ambayo hayana uhusiano wowote na Jimbo lake, leo hii muda umeisha anajifanya kulia lia na kupandisha kichaa kwamba anaibiwa kura, lkn ukweli ni kwamba wakazi wa Kawe wamemchoka, amekuwa Mbunge kwa vipindi 2 kwa hali ya kawaida vinatosha sana na sasa muda wa kuwapisha wengine pia, lkn kwa kuwa ubinafsi umewajaa wanafikiri wana hati miliki na Ubunge, ...
Waswahili wanasema nyani haoni kundule, hawa watu wameng'ang'ania kutuita sisi wajinga bila kujiuliza ni kwa nini ajenda zao zinashindwa kutushawishi. Wakati chadema ilipokuwa na ajenda za maana zilizokuwa zinagusa mahitaji ya wananchi (ufisadi, wizi, kukosa huduma za muhimu, nk) wananchi wengi waliwaelewa na kuwaunga mkono, ndo maana chama kikawa kinaongeza idadi ya wabunge karibu kila uchaguzi. Baada ya Magu kuanza kushughulikia hizo kero na kuzipunguza, chadema imeshindwa kujiadjust na kuja na ajenda mpya zinazogusa mahitaji halisi ya wananchi. Matokeo yake ndiyo haya, kututukana na kutuona sisi ni hamnazo!Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
We ni raia wa nchi gani...?Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.
Kama kungekuwa na Wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio
Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.
Rai yangu, Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa sawa.
Wewe ndo mjinga watanzania they what they are doing. Walikuwa wanachagua kati ya uzalendo na uhaini wa kuuza mali za umma. Sasa kama wamechagua uzalendo afu useme wajinga. Mjinga ni wewe siyo sisi.. Shida yenu wapinzani wote ni vichaa wakiongozwa na tunduKwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.