Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
wewe ndiye hukumwelewa; wengine tunajibu hoja hatujibu hisia kama weweHujaelewa mantiki ya mtoa hoja naona unataka fikra zako ndo ziwe za mtoa hoja poor you mzee.

Exactly.Nakubaliana na wewe watanzania ni ajabu sana sitegemei kuona wakilalamika tena maisha magumu..
Kwani wewe umekaazwa kufanya utakacho? Wewe fanya yako usituzimishe kuchagua upinzani huu wa kijingaKwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.
Kama kungekuwa na Wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio
Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.
Rai yangu, Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa sawa.
Yaani jamaa ameona alaumu wapiga kura wake maana uchaguzi umekua huru na haki.Naona mnawatusi wapiga kura wenu.
Halafu huyu kichuguu eti profesa. Pumbavu zake. Ndio viwango vya akina lipumba.Hivi wewe shule ulikwenda kusoma au kunywa uji,hapa sizungumzii watu kutowapigia kura upinzani bali dhuruma za wazi wanazpfanyiwa kama kutowaruhusu mawakala,wizi wa kura,unyasasaji,kutopewa fomu,kutolewa nje na mambo mengine mengi.
Lengo likiwa ni kuidhinisha ushindi mchafu dhidi ya wagombea wa upinzani.
Mjinga wewe labdaKwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.
Kama kungekuwa na Wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio
Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.
Rai yangu, Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa sawa.
Hahah.. Sina CHAMA cha aina yeyote wala sio MUUMINI wa Siasa..Ndio maana hujawa na hautokuwa kwa akili na ufahamu ulionao sahau. Subiria kuitwa kwenye vikao vya chama na kuondoka na buku mbili.
Sawa mkikuyuUnapo jitoa kuipigania haki ya mtanzania basi jua atakuachia wewe uipiganie haki yake huku yeye akiwa amesimama pembeni ,
usitegemee na wala usifikiri kuwa atakuja kuungana na wewe ili mpambane wote haki yake ipatikane , hivi ndivyo nilivyo wajua watanzania tangu tupate uhuru 1961.
Tunajipangaje?Tusidanganyane hapa hamna mpinzani mwenye uchungu na mikakati ya kweli ya kumkomboa Mtanzania
1. Wanajua kabisaa kuwa mazingira ya uchaguzi hayako fair, kwa Nini agenda yao ya kwanza isiwe kuweka sawa mazingira ya upinzani nchini.kama katiba Mpya na time huru ya u hachaguzi? Tafsiri yake Wana uchu wa madalaka ndo maana wananunulika Kila siku.
2. Upinzani Hauna agenda ya kitaifa. Tundu Lissu hakuja kuwa Rais, Bali amekuja kutafuta sababu ya watu Fulani washtakiwe au wawekewe vikwazo Fulani kwani kwa mazingira ya uchaguzi hamna usawa. Nakubali kuwa aliumizwa sana " asitumie watanzania kutafuta anacho kitaka". Asiyafanye maumivu yake kuwa ya Taifa zima
Tujipange kwanza
Badala ya kuwaambia watu walinde kula, tuanze na katiba mpya.Tunajipangaje?
Jifunze kwanza kuandika vizuri alafu uje kutapika upuuzi wako humuMkipewa Uhuru wa Kuongea mnaongea Upuuzi.. I wish ningekuw MODERATOR... Mbn mngefurahi
Ach ujinga, kila mtu anapigania tumbo lake.Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.