Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Sio suala la kuwashawishi kwa maneno tu bali kwa kuwaletea wanamuziki ka kina diamond bure, kuwapa fedha buku tano, kuwatisha kupitia ujinga wao kuwa tutakuwa kama libya. Hiki ni kitu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya ili kumshawishi mtu.Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania, thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi.
Ndio maana hujawa na hautokuwa kwa akili na ufahamu ulionao sahau. Subiria kuitwa kwenye vikao vya chama na kuondoka na buku mbili.Mkipewa Uhuru wa Kuongea mnaongea Upuuzi.. I wish ningekuw MODERATOR... Mbn mngefurahi
Sio suala la kuwashawishi kwa maneno tu bali kwa kuwaletea wanamuziki ka kina diamond bure, kuwapa fedha buku tano, kuwatisha kupitia ujinga wao kuwa tutakuwa kama libya. Hiki ni kitu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya ili kumshawishi mtu.
Magufuli na wapwa zake wamelewa madaraka mpaka wameifanya Tanzania ni nchi ya vilio na mauaji. Mpwa wake yule mwenyekiti wa vijana wenye njaa wa CCM juzi juzi alikuwa anamtishia Tundu Lissu kuwa atachomwa sindano ya sumu asijue Mungu ndiye muweza wa yote na Magufuli anayeonekana sasa hivi kama alfa na omega wa Tanzania mpaka kuataka aabudiwe kama Mungu anaweza kuanguka ghafla na kufa huku akimwacha Lissu mzima.Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
Mkuu kwa jamii tuliyonayo ya Tanzania inahitaji nguvu za kiroho.Ukiona unashindwa kushawishi wapiga kura wakuchague labda wewe siyo mtu sahihi kwa kazi hiyo kama unavyodhania, labda unajidanganya pia, kosa siyo la Wananchi, na ndiyo maana kila mtu na fani yake kuna wanamuziki, mafundi magari, uashi, kuna sanaaa, n.k. hivyo ukiona haukubaliki na walio wengi siyo kwamba wale wengi ni wajinga labda wewe ndiyo tatizo, watu intelligent hulijua hili.
Watu mna nondo hatari. Kuna watu wanakaririshwa kama kasuku
Mkuu kwa jamii tuliyonayo ya Tanzania inahitaji nguvu za kiroho.