Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

.
Kwa sababu iko karibu na zanzibar.zanzibar ni makao makuu ya mashoga Tanzania
Mashoga mnajua mpaka makao makuu yenu yalipo sio?

Siku hizi Vatican machoko ni ruksa kuhiji.
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 13
Wanaume wengi hapo daslam madirisha ya chooni hayana nondo
 
Nimezaliwa Dar nimekulia Dar lakini kuna tabia nyingine noma sana hasa vinjunga, unapishana na zee limevaa bukta sio bukta boksa sio boksa, aibu sana
 
Kujiremba sana/kutumia vipodozi vingi kama wanawake, kuvaa nguo za kubana(vinjuga), kutoboa poa, kuongea kwa kubana pua, kulambalamba lips, kurembua, miondoko na mikogo ya kike

Inasikitisha sana
 
Kama watu wamikoani mngekua mna mind your business maybe it would've been less hot here..
 
Kujiremba sana/kutumia vipodozi vingi kama wanawake, kuvaa nguo za kubana(vinjuga), kutoboa poa, kuongea kwa kubana pua, kulambalamba lips, kurembua, miondoko na mikogo ya kike
yaelekea una muda mwingi wa kuchunguza mionekano ya watu kuliko maisha yako binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…