Kwa nini huwezi kula ugali bila Mboga?

Kuna mwamba nilikutana naye shule, yeye hatumii maharagwe sasa hela za kununua mboga zikimuishia alikuwa anachukua ugali halafu anaukata mkubwa na mdogo anatenganisha.

Anaanza kula ule ugali huku mboga ikiwa ni ule ugali mdogo.
 
Yeah! Kama ambavyo wengine Hutumia uji kama mboga. Hizo ni shida ndizo zimepelekea hivyo. Lakini Kwa maisha ya kawaida, ugali bila mboga ni ngumu kidogo.
 
Ukila ugali bila mboga unakuwa hauna tofauti na msukule, unakula unga tu.
 
Kihalali kabisa, ugali siyo chakula cha binadamu, bali ni cha wanyama na ndege.
 
Mbona hata wali mie sigusi bila mboga
Wengi tumefakamia wali usio na mboga na Kisha tunashushia na maji. Fresh tu maisha yanakuwa mswano.
Wali na mihogo ni rahisi kula bila mboga ila Kwa ugali.......πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
hata wali huwezi kula bila mboga
Wife huwa ananikatia embe ilio iva vizuri au nanasi lililo iva vizuri ,halaf anavimwagia juu ya wali, aisee huwa kwangu binafsi ni burudani sana.
Ukitoa wali maharage, bas hii ndio namna ya pil nayo enjoy kulia wali
 
πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…