Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Ok. Basi ntakula na maziwa ambayo hayako kundi la vitamin kwahiyo siyo mboga tayariPilipili Iko kwenye kundi la vitamini (ni mboga tayari).
Unatakiwa ule ugali mkavu bila Chumvi Wala nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok. Basi ntakula na maziwa ambayo hayako kundi la vitamin kwahiyo siyo mboga tayariPilipili Iko kwenye kundi la vitamini (ni mboga tayari).
Unatakiwa ule ugali mkavu bila Chumvi Wala nini.
Duh!...Maamuzi tu, kuna jamii fulani ugali mdogo ndio huwa mboga ya ugali mkubwa.
Bibie! Maziwa yako kundi la protein.Ok. Basi ntakula na maziwa ambayo hayako kundi la vitamin kwahiyo siyo mboga tayari
hii nshawhi kula simiyu kiugali kidogo kinawekwa kwenye bakuli au chungu liugali likubwa linawekwa kwa siniaMaamuzi tu, kuna jamii fulani ugali mdogo ndio huwa mboga ya ugali mkubwa.
Naaam, bora umetoa ushuhuda mkuu, kuna watu wangebisha hii.hii nshawhi kula simiyu kiugali kidogo kinawekwa kwenye bakuli au chungu liugali likubwa linawekwa kwa sinia
We kila kitu ni mboga. HopelessBibie! Maziwa yako kundi la protein.
Watu huku wanashindia ugali na Maziwa mgando/mtindi. Maziwa mbona ni mboga nzuri tu.
Kuna mwamba nilikutana naye shule, yeye hatumii maharagwe sasa hela za kununua mboga zikimuishia alikuwa anachukua ugali halafu anaukata mkubwa na mdogo anatenganisha.Wanajukwaa habari zenu!
Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali?
Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani?
Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins.
Ugali wa Mahindi uko katika kundi la wanga wakati Kwa upande wa Mboga inaweza toka katika kundi la protein au vitamini (mbogamboga) na roughage (Mbogamboga).
Ugali ambao unatoka katika kundi la wanga siku zote lazima Mboga ziwepo. Kwa nini Mboga za aina yoyote ile lazima ziwepo?
Nimeuliza swali hilo Kwa kuwa Kuna vyakula vingine Vya wanga ambavyo vinaweza kuliwa bila mboga. Kwa mfano, Mihogo ya kuchemsha, wali, viazi utamu (sweet potatoes), viazi ulaya (Irish potatoes), magimbi, maboga, ndizi , n.k. Vyakula vyote hivyo Vya wanga unaweza kula bila mboga, isipokuwa ugali. Kwa nini?
Je, ni utamaduni?
Je, ni mitazamo yetu?
Je, wewe ulishawahi kula ugali bila mboga?, ilikuwa poa?
Bibie! Maziwa yako kundi la protein.Ok. Basi ntakula na maziwa ambayo hayako kundi la vitamin kwahiyo siyo mboga tayari
Tatizo lako umekulia maghorofani. 😀😀We kila kitu ni mboga. Hopeless
Yeah! Kama ambavyo wengine Hutumia uji kama mboga. Hizo ni shida ndizo zimepelekea hivyo. Lakini Kwa maisha ya kawaida, ugali bila mboga ni ngumu kidogo.Kuna mwamba nilikutana naye shule, yeye hatumii maharagwe sasa hela za kununua mboga zikimuishia alikuwa anachukua ugali halafu anaukata mkubwa na mdogo anatenganisha.
Anaanza kula ule ugali huku mboga ikiwa ni ule ugali mdogo.
Wengi tumefakamia wali usio na mboga na Kisha tunashushia na maji. Fresh tu maisha yanakuwa mswano.Mbona hata wali mie sigusi bila mboga
According to who?Kihalali kabisa, ugali siyo chakula cha binadamu, bali ni cha wanyama na ndege.
Sasa fikiri ni kwanini hauliki bila mboga?According to who?
But you're right at some point. Viumbe hai vipo makundi mawili, mimea na wanyama, na binadamu huangukia kundi la wanyama
Wife huwa ananikatia embe ilio iva vizuri au nanasi lililo iva vizuri ,halaf anavimwagia juu ya wali, aisee huwa kwangu binafsi ni burudani sana.hata wali huwezi kula bila mboga
😆😅🤣kuna Jamaa namfahamu yeye hajaoa halafu ni mvivu kupika mboga, bas huwa anaenda anaagiza supu tu au anaenda kwa wakaanga samaki ananunua samaki halafu anamtafuna hukohuko.
Akirudi geto kwake anapika ugali anakula hivyo hivyo mboga ndo ilishatangulia anasema vitachanganyikia tumboni.