Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
 
Ila ukija njombe hakuna mbu kabisaaa huku neti ni geresha tu..kuna baadhi ya maeneo iringa yanashea nature ya dodoma
 
Wakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
Hata mbeya baadhi ya maeneo kule umati na ccm Kuna mbu sio poa
 
Back
Top Bottom