Haya tuliza kikojoleo chako,Nunua K vantNyapu za huku nyingi nasikia zimeunganishwa na gridi ya taifa
Nyie kuweni mawakala kama REA muusambaze.Nyapu za huku nyingi nasikia zimeunganishwa na gridi ya taifa
Hata mbeya baadhi ya maeneo kule umati na ccm Kuna mbu sio poaWakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
Uyole lazima pawe na Mbu kule ni majarubani kama Mbalari tuuYeah,niliwahi kuishi mbeya uyole kulikua na mbu sio poa.