Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?


Nafikiri unajadili kitu kikubwa ambacho bado huwezi kukifafanua
 
Umeuliza swali zuri sana

Majibu watetezi wanayo sema wanaona aibu kukupa majibu

Ova
 
Umeandika vizuri nami nasema hakuna na hakutakuwa na tatuzo la udini kwa taifa zaidi watu wachche tu kama kuku wanaopigana.
Tunafanya haya bila kujal duni zetu:
Tunaoana na kuzaa
Tunaishi nyumba moja.
Tunasoma shule moja
Tunasafiri kwenye chombo kimoja
Tunanunua na kuuza pamoja
Yaani miunganiko ni mingi kama mishipa na hivi anayeleta mtafuruku wa kidini anajiliwaza mwennyewe.
 
Baadhi ya watu hawana huo uwezo. Hivi unajua kuna watu hawawezi kwenda zaidi level ya "tabula rasa"?
 
Hehehe
 
Point kubwa sn hii mkuu. Naomba imfikie yeyote anayeweza kuijengea hoja vzr eg Tundu Lissu awaulize kina JK. Wanashindwa kujibu hoja wanajificha nyuma ya udini
 
Wametoa msimamo wao kuhusu uwekezaji wa bandari, wameishikia vp remote serikali hapo? Serikali ndio inaogopa kivuli chake ynyw inatafuta wa kufa nae
 
 
Kwasababu TEC wametoa waraka na kuusoma madhabahuni kutushawishi sisi waumini tupinge jitihada za serikali katika uwekezaji unaofanyika bandarini.
TEC imeingiza Udini kwenye siasa ya Uchumi wa Taifa letu, hili ni kosa la maksudi wamefanya TEC.
 
Kwasababu TEC wametoa waraka na kuusoma madhabahuni kutushawishi sisi waumini tupinge jitihada za serikali katika uwekezaji unaofanyika bandarini.
TEC imeingiza Udini kwenye siasa ya Uchumi wa Taifa letu, hili ni kosa la maksudi wamefanya TEC.
One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors.
 
Hiyo ndiyo falsafa ya CCM kutumia jukwaa la kueneza propaganda kupitia imani zetu ndogo. Kama tusingekuwa na dhambi tungeweza kwa ujadiri kukemea hizi tabia. Lakini Kama alivyotoa mfano Yesu "ambaye hajawahi kutenda dhambi awe Ni wa Kwanza kutupa jiwe" hili linatugusa na zaidi linawagusa baadhi ya maaskofu wengi wale wanaotulangua kwa maji na udongo eti kwa jina upako.
 
Wametoa msimamo wao kuhusu uwekezaji wa bandari, wameishikia vp remote serikali hapo? Serikali ndio inaogopa kivuli chake ynyw inatafuta wa kufa nae
Shida sio kutoa msimamo shida ni kushawishi waumini kupitia nafasi yao kama viongozi wadini wapinge jitihada za serikali katika uwekezaji unaofanyika bandarini hapo ndipo tatizo lilipo.
 
Jamaa inaonekana Roho yako imeunganishwa moj kwa moja na Mijadala ya Dp World maan kila Post ya Dp World ikipostiwa ni lazima utie timu kutoa Moja na Mbili,

Safi sana Kamanda Tupo pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…