Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

Umeelewa ulichoandika? Hiyo ni kesi , huwezi m force mtu akiri au akatae . Ni kazi ya mahakama si ya jf

Swali kwako kuna mtu au taasisi iliwa mfungulia hayo mashtaka? Na kesi ilifika wapi?

Else utabaki kuwa umbea wa mtaani
Swali linasema mbona hajawahi kukanusha
 
Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.

Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli 🐒
 
Back
Top Bottom