Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Ni kibaka Kumbe!Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee