Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

Mkuu utakuwa ulikuwa bingwa wa kukariri notices, ndo maana unawawazia wenzako nao wamekari notices😃😃

Ukweli unabaki ushahidi ni lazima uwe wa hakika, beyond reasonable doubt,ni hivyo b,acha POMPOSITY na arrogance hazikusaidii kitu
Sio arrogance na pomposity, ni uwezo wangu mkubwa sana wa ki akili unaokufanya ujione inferior
 
Muda utaongea...


Cc: Mahondaw
Nope Muda hauongei na wala sometimes kinachotolewa ni tofauti na ukweli (yaani muda unazidi kudanganya) Case in Point, waliotuaminisha Lowassa ni Mwizi mwisho wa siku ndio walimsifia na katika Mazishi yake hadi watu walipigania mialiko...
 
Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.

Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Wewe mwizi mwenzie ulipaswa kutoa taarifa police ili wamkamate. Mbona haujasemea wanaiba na kuwapandisha twiga wetu kwenye ndege?

Kwani ni kuna sababu gani ya kuwafukuza Wamaasai Ngorongoro na Loliondo kule kama siyo wizi?
 
Kuna mambo ni kupotezea tu. Wanasiasa wengi wana ushenzi mwingi waliowahi kufanya bahati mbaya hakuna ushahidi wa kutosha kuwafikisha mahakamani. Wakisema wakamate wote wenye tuhuma za wizi wa magari kuna kiongozi mkubwa sana Arusha atakamatwa. Mwaka 2002 pale Sheikh Amri Abeid kuna jamaa aliibiwa Baloon kimaajabu na viashiria vyote vilionyesha ni huyu kiongozi mkubwa wa sasa kahusika.
 
Wewe mwizi mwenzie ulipaswa kutoa taarifa police ili wamkamate. Mbona haujasemea wanaiba na kuwapandisha twiga wetu kwenye ndege?

Kwani ni kuna sababu gani ya kuwafukuza Wamaasai Ngorongoro na Loliondo kule kama siyo wizi?
Lemma ni wa hivyo, hutaki?
 
Wizi wake hauna madhara kwangu ukilinganisha na wezi wa twiga. Nadhani LEMA km ni mwizi na wenye mamlaka wameshindwa kumkamata basi namuomba AONGEZE BIDII ILI AIBE HAYO MAGARI YA KIJANI YOOOOOTE amalizie na hizo pikipiki zenu.
Amefikia mwisho
 
Kama kuna mtu mwenye ushahidi usiokuwa na shaka kuhusu "wizi wa magari " awake hadharani ili aache kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom