Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Ni kibaka Kumbe!Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Yaani kila kitu akanushe ndio sawa!sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli π
Nenda kamuulizeLemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Niimekumbuka ule wimbo wa "Masoud.... Amekuwa Jambazi..... Ukikutana naye usikuuuu..... Upitie mbali...... Ama siiivyo atakudhuru baba..... "sure,
alikua jambazi mkuu wa malori na hajawahi kukanusha jambo hilo, nadhani ni kwasabb ni kweli π
hata kukiri tu kwamba alikua jambazi ni sawa tu gentleman, na itapendeza zaidi ama ni ajeπYaani kila kitu akanushe ndio sawa!
Umughaka , Monica hamjaonana hadi Sasa?!Niliipenda story Yako!Wanawake huwa mna matatizo sana,yaani badala umpambanie mumeo wewe kutwa kuhangaika na mambo ya wanaume wa wanawake wenzio!
Hakuna anayependa sifa mbaya!Hata CCM hawapendi!hata kukiri tu kwamba alikua jambazi ni sawa tu gentleman, na itapendeza zaidi ama ni ajeπ
Nani kiongozi ashawahi itisha press conference yakusema Lema anahusika kuiba magari kama sio ma chawa wapumbavu na wajinga kama wewe mavi???Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
si umeona kibaraka anaanza kukiri unafiki na ushiriki wake kuhusu ujio wa hayati lowasa chadema πHakuna anayependa sifa mbaya!Hata CCM hawapendi!
Haya tlaahtlaah msalimie kaka Yako Mwashambwa!si umeona kibaraka anaanza kukiri unafiki na ushiriki wake kuhusu ujio wa hayati lowasa chadema π
amekaa siti ya mbele mkutano mkuu CCM hawezi kuchati πHaya tlaahtlaah msalimie kaka Yako Mwashambwa!
Amestaafu kwenye wizi wa magari lakini utapeli hajaacha.Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Wizi wa magari, na wizi mwingine, Polisi walitakiwa wamkamate, na mahama imtie hatiani.Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha mahakama au sayansi ya kemia fizikia au baiolojia. Vijineno vinatosha kabisaWizi wa magari, na wizi mwingine, Polisi walitakiwa wamkamate, na mahama imtie hatiani.
Lema hajawahi kukamatwa na Polisi, hajawahi kukutwa na hatia ya wizi wa magari na mahakama yoyote.
Kifupi issue ya Lema kuhusishwa na wizi wa magari ni sawa na HADITHI ZA SUNGURA NA FISI.
Anafanya vizuri kutokuzungumzia vitu hewa ambavyo havipo..π€π€π€π΄π΄
Kuna tetesi Unayemuona ni BABAKO sio Babako, japo hakuna KIPIMO Cha DNA kilichofanyika.Amestaafu kwenye wizi wa magari lakini utapeli hajaacha.
Lema na wenzake walifanikiwa kuiba magari, kwenye miji ya Nairobi,Mwanza a Arusha...hawakutiwa nguvuni either kwa sababu ya udhaifu wa vyombo vyetu vya dola.
Lakini hilo halimwondolei Kijana huyo jina la mwizi wa magari.
Akili huna wewe, kama Una ushahidi mahakama hujui zipo wapi?Lemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
"Nikiwa na miaka 28 nilikuwa namiliki Daladala Hiace mbili ,voksi wageni moja ,restaurant na nyumba" - G LemaLemma wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee