Sio arrogance na pomposity, ni uwezo wangu mkubwa sana wa ki akili unaokufanya ujione inferiorMkuu utakuwa ulikuwa bingwa wa kukariri notices, ndo maana unawawazia wenzako nao wamekari notices๐๐
Ukweli unabaki ushahidi ni lazima uwe wa hakika, beyond reasonable doubt,ni hivyo b,acha POMPOSITY na arrogance hazikusaidii kitu
Nope Muda hauongei na wala sometimes kinachotolewa ni tofauti na ukweli (yaani muda unazidi kudanganya) Case in Point, waliotuaminisha Lowassa ni Mwizi mwisho wa siku ndio walimsifia na katika Mazishi yake hadi watu walipigania mialiko...
Wewe mwizi mwenzie ulipaswa kutoa taarifa police ili wamkamate. Mbona haujasemea wanaiba na kuwapandisha twiga wetu kwenye ndege?Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali.
Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
Duh! Au kuramba sukari!wewe ulishawahi kukanusha tuhuma za kudokoa mboga utotoni?
Lemma ni wa hivyo, hutaki?Wewe mwizi mwenzie ulipaswa kutoa taarifa police ili wamkamate. Mbona haujasemea wanaiba na kuwapandisha twiga wetu kwenye ndege?
Kwani ni kuna sababu gani ya kuwafukuza Wamaasai Ngorongoro na Loliondo kule kama siyo wizi?
Wizi wake hauna madhara kwangu ukilinganisha na wezi wa twiga. Nadhani LEMA km ni mwizi na wenye mamlaka wameshindwa kumkamata basi namuomba AONGEZE BIDII ILI AIBE HAYO MAGARI YA KIJANI YOOOOOTE amalizie na hizo pikipiki zenu.Lemma ni wa hivyo, hutaki?
Amefikia mwishoWizi wake hauna madhara kwangu ukilinganisha na wezi wa twiga. Nadhani LEMA km ni mwizi na wenye mamlaka wameshindwa kumkamata basi namuomba AONGEZE BIDII ILI AIBE HAYO MAGARI YA KIJANI YOOOOOTE amalizie na hizo pikipiki zenu.
Siwezi kuwa inferior kwa POPOMA kama wewe ๐ ๐ ๐๐ ๐Sio arrogance na pomposity, ni uwezo wangu mkubwa sana wa ki akili unaokufanya ujione inferior