Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

UNAONGEA UTUMBO TU HAPA MAELEZO KIBAO KUMBE UFALA MTUPU.
UNATUDANGANYA ETI UKRAINE INAKOMBOA MAENEO ILHALI JANUARY MWAKA HUU IMEPOKONYWA ENEO.
Lugha hiyo tu inaonyesha kuwa wewe ni intellectually empty.

Special military operation ya wiki tatu imeingia miaka ya tano bila hata wewe mwenyewe kufanya analysis yako mwenyewe kuwa hapa kuna tatizo? Urusi iliizingira Ukraine ztakribani nusu kwa kutokea Crimea, Luhanski, Belgorod na Belarus wakitegemea kuimeza Ukraine ndani ya wiki kama tatu tu ambapo kipindi hicho wangeungana na askari wa urusi walio Transnistria, lakini hadi leo wamekwama wanaingia mwaka wa tano wakiwa wameongeza 13% tu ya ardhi huku wakiwa na casualities zaidi ya milioni moja na laki mbili, halafu wewe unaleta maneno ya kijinga yasiyokuwa na analytical content yoyote, eti UTUMBO UFALA- yaani maneno ya watu wa uchochoroni kabisa. Nincompoop !!
 
Ilipaswa aivamie Iran ili wadhalilike Dunia iweze kufahamu kwamba hawana uwezo wowote wa maana ni vile tu walikuwa hawajawahi kukutana na opponent mwenye uwezo mkubwa wa tech kama Iran ,
Kabisa hii ni embarrassment kubwa kwao
 
Bado wanaamini Regime change wataifanikisha kutokea angani kama kule Libya
Sijakusikia ukiikemea marekani kwa kuivamia Irani,kua Iran ni nchi huru inayo haki ya kumiliki silaha kubwa nyukilia ikiwemo.
 
Mkuu huu ni uchambuzi!! au utabiri?
Ni vyote: uchambuzi na utabiri. Vita haifanikiwi kwa kuwa na mabavu tu, hufanikiwa kwa kuwa na mbinu nzuri. Hata kama una jeshi kubwa na silaha kali, usipokuwa na mbinu nzuri utashindwa tu. Urusi inapitia kipindi hicho huko Ukraine, na Marekani nayo sasa inaaza kupitia njia hiyo hiyo huko Iran pamoja na kuwa na jeshi kubwa lenye silaha za kisasa sana.
 
Kiko wapi leo baada ya miezi mitatu.?

Ni kama ile special military operation ya Urusi ambayo leo iko mwaka wa tano. Ukitawaliwa na mjinga, utaishi maisha ya kijinga tu.
 
Wewe nawe umeshiba mihogo yako huko Cholesamvula uje kujifanya mchambuzi wa vita vya Marekani? Hebu tuache uzamwamwa!
Wachambuzi wa mchongo mnajifaraji sana
Ni kama ulikuwepo kwenye vikao vya ndani vya USA!
Marekani hatafuti ushindi kwa looser, anachofanya anaondoa hatari ya magaidi kupata access ya silaha za nyuklia toka kwa kichaa anayegawa silaha hovyo kwa kila anayemuunga mkono, na kafanikiwa tayari, kutafsiri ni ushindi au kushindwa anawaachia weusi wanaona vita ni kama mpira wa yanga na simba. By the way Iran hatarudisha uwezo wake in our lifetime, ajipange tu upya au aamue kuwa gaidi kama wengine, but will never reorganize at least in 50-70 years
Mie sina haja ya kusoma maelezo yako yasiokua na UHALISIA WOWOTE.
Nenda make google your friend urusi imezidi kuchukua maeneo hadi sasa ishachukua 30% ya ardhi ya Ukraien.
Wacha kutudanganya aiseee unaongea na watu wanaojielewa.
Hizo asilimia unazosemea ilikua kabla ya Urusi kubeba Sumy ma Provorsk.
UNAONGEA UTUMBO TU HAPA MAELEZO KIBAO KUMBE UFALA MTUPU.
UNATUDANGANYA ETI UKRAINE INAKOMBOA MAENEO ILHALI JANUARY MWAKA HUU IMEPOKONYWA ENEO.
Ceasefire, pray for Iran, stop war in Iran, hizi ndio kelele zinazofuatia
Mkuu huu ni uchambuzi!! au utabiri?

Kati ya mimi na wewe ni nani aliona mambo mbali kwa usahihi? Je sasa unakubali kuwa niko levo kubwa sana juu yako?
 
Kiko wapi leo baada ya miezi mitatu.?

Ni kama ile special military operation ya Urusi ambayo leo iko mwaka wa tano. Ukitawaliwa na mjinga, utaishi maisha ya kijinga tu.
Trump alidanganywa na Netanyau au alitaka kuifanya Iran kama Venezuela?..
 
Trump alidanganywa na Netanyau au alitaka kuifanya Iran kama Venezuela?..
Siyo kudanganywa tu, ni ego yake ya kutaka kujifanya anajua sana. Vita yoyote inayofanikiwa hupangiliwa kwa makini kabla ya kuanza. Sasa hivi Hegseth amshafukuza majeneralai zaidi ya kumi na tano ambao hawakubaliani naye kwenye uendeshaji wa vita.
 
Hegseth kila anapohojiwa anasisitiza malengo ya Operation yamefikiwa na akiulizwa mbona Hormuz bado imefungwa anasisitiza Marekani ndio inaamua kipi kuingia na kipi kitoke ndani ya Iran na sio kwamba wameshindwa kuifungua.

Ila hii vita imezifundisha nchi korofi namna ya kuvumilia mashambulizi ya Marekani.
 
Hapana, jeshi la Marekani bado lina uwezo mkubwa sana wa kusihinda Iran. Isipokuwa vita inategemea sana mbinu zinazowekwa za makamanda. Trump alikurupusha jeshi kuingia vitani kabla makamanda hawajaweka mbinu zozote mezani, halafu kipindi ambacho makamanda wakongwe waliokuwa wakihitajika kuwa mbinu hizo walifukuzwa kazi haraka haraka kwam kutokukubaliana na uataratibu wa Hegseth. Ushindi wa vita hautegemei kabisa wingi wa silaha au ukubwa wa jeshi, unategema mbinu za medani.
 
halafu kipindi ambacho makamanda wakongwe waliokuwa wakihitajika kuwa mbinu hizo walifukuzwa kazi haraka haraka
Yaani Marekani na ubabe wote huo inategemea kikundi kidogo cha wakongwe ambao wasipokuwepo jeshi halishindi?
 
Yaani Marekani na ubabe wote huo inategemea kikundi kidogo cha wakongwe ambao wasipokuwepo jeshi halishindi?
Military leadership inategemea sans experience na training. Ndiyo maana mtu hawezi kujiunga na jeshi na siku hiyo hiyo akawa kamanda.
 
Military leadership inategemea sans experience na training. Ndiyo man mtu hawezi kusikia jeshi na siku hiyo hiyo akawa kamanda.
Waziri wa vita Hegseth kafanya 'purge' kubwa sana ya maafisa , ila sidhani kama hili limechangia hii 'Stalemate' inayoendelea na Iran.

Sana sana imeathiri sera tu huko Pentagon.

T14 Armata
 
Waziri wa vita Hegseth kafanya 'purge' kubwa sana ya maafisa , ila sidhani kama hili limechangia hii 'Stalemate' inayoendelea na Iran.

Sana sana imeathiri sera tu huko Pentagon.

T14 Armata
Pete Hegseth anafaa kuwa mwanamitindo wa YSL na Sean John, sio hivi Secretary of Defense. Yeye na Trump ni pipa na mfuniko.

Trump ni kama Hitler, ana maafisa ila vita anaiendesha kutoka Oval office na Secretary wake huyo aliyechanganyikiwa. Vita yenyewe influence imeanzia Israel na DoD haikuwa imejipanga nayo fika.
 
Waziri wa vita Hegseth kafanya 'purge' kubwa sana ya maafisa , ila sidhani kama hili limechangia hii 'Stalemate' inayoendelea na Iran.

Sana sana imeathiri sera tu huko Pentagon.

T14 Armata
Kuharibika kwa sera za kijeshi ndiyo mwanzo wa jeshi kutofanya vizuri
 
Pete Hegseth anafaa kuwa mwanamitindo wa YSL na Sean John, sio hivi Secretary of Defense. Yeye na Trump ni pipa na mfuniko.

Trump ni kama Hitler, ana maafisa ila vita anaiendesha kutoka Oval office na Secretary wake huyo aliyechanganyikiwa. Vita yenyewe influence imeanzia Israel na DoD haikuwa imejipanga nayo fika.
Trump kajiingiza kwenye mtego na hajui namna ya kujinasua.

Israel kuweka kando kwenye haya mazungumzo ni pigo kwa Netanyau ndio maana anaiharibu Lebanon na kuishambulia Iran hasa akilenga miundombinu ya mafuta Ili Iran ijitoe na mazungumzo yavunjike.
 
Back
Top Bottom