Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam chui mambo ya ndege naona kila rubani ana ipad ya apple.
Hawana kazi zaidi ya kuview status, ndege ikiwa angani kwa masaa kwenye autopilot, wajomba wanakijeperuzia tu mavitu, Ipad screen pana full kuenjoy. Apple brand kubwa.