
Kwani umeona wangapi na umejuaje na inakusaidia nini?Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
Uzi tayari.Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
Una maana na mheshimiwa rais daktari profesa SSH anafanya mambo haya? Uwe na adabu.Kwenye kukata gogo Mungu alituweza
Utakunya tu hata uwe unaitwa Waziri mkuu rais au mfalme
Tumshukuru Rais Samia kufanikisha Huu utafiti.Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
Aufute au auhamishe jukwaa. Maadam wewe ni mod wa zam, basi fanya hivyo.Unataka msaada gani? Mimi ndio mod wa zamu