Tatizo hauna exposure umezoea vyoo vyenu vya uswahilini unafikiri ndo kila sehemu hali iko hivyoHili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
Yani ni majinga mno haya majamaaTukisema ccm ni empty set huwa tunamaanisha. Nini hiki!
🤣🤣Ombi lako halina mwingi, ukiendelea na usumbufu nakufuta kabisa hapa JF na hautarudi tena