round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu
Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa, ukiwafatilia wengi wanawaza mshahara, posho za vikao, n.k. sio kutatua matatizo.
Ukija kwenye mambo ya Taknolojia, Mwafrika yupo nyuma sana, kaendekeza sana mambo ya kuamini USHIRIKINA, mpqka leo waafrika tunahangaika kubuni helikopta, mambo yaliyofanywa kitambo.
Kwenye mambo ya utawala bado sanaa, serikali zetu zinaanda mpaka hafla ya kuzindua vyoo, uchawa ni mwingi sana kiasi kwamba kila kitu anasifiwa alie juu kicheo badala ya wananchi, kodi zimechangwa na wananchi utasikia anasifiwa wa juu kajenga barabara 😂 hapo majuzi tu Trump katishia kusitisha msaada, viongozi waafrika wakawa mstari wa mbele kulia utadhani msaada ni haki yao.