Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

Atakaye bisha na abishe sisi hamna kitu mimi sijawahi kuishi nchi za nje ila nashukuru sana nimefanya kazi na experts wengi wa kigeni sisi tuna matatizo.

Kwa mfano HR wetu anaamua kutuumiza wazawa kwasababu ya maslahi yake binafsi mwisho wa siku mnabaki mnaumia ye anawacheka tu.

Na Nina mifano mingi huko kwenye ma ....
 
Sasa hivi ungekuta tunanyukana na trump kwenye uchumi, atunyime na yeye tumnyime, atupe na yeye tumpe, lete tukupe. Tungekuwa tuna teknolojia zetu, wanasayansi wetu, wagunduzi wetu. Malighafi tunazo nyingi sana ila hatuna akili za kuzichimba na kuzibadili ili kutengeneza bidhaa zetu, mnyororo wa thamani
 
Nchi yoyote ikishakuwa na watu wengi, wanaondoka kwenda kutafuta nje.

Ndio maana Wakenya, Somali, Nigeria wako huko.

Kuwa na utaniri huku Afrika sisi ndio tunawapa kwasababu tukiona mgu mweupe, tunatetemeka.

Hata akija omba omba wa Kihindi hapa, miaka 2 anakuwa tajiri maana tutampa

View: https://youtu.be/Nnpg6TnAoL4?si=2-EtNbkzucKEPGaH

acha kufanianisha Wahindi na watu weusi. Watu weusi wamelaanika kabisa
 
Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu

Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa, ukiwafatilia wengi wanawaza mshahara, posho za vikao, n.k. sio kutatua matatizo.

Ukija kwenye mambo ya Taknolojia, Mwafrika yupo nyuma sana, kaendekeza sana mambo ya kuamini USHIRIKINA, mpqka leo waafrika tunahangaika kubuni helikopta, mambo yaliyofanywa kitambo.

Kwenye mambo ya utawala bado sanaa, serikali zetu zinaanda mpaka hafla ya kuzindua vyoo, uchawa ni mwingi sana kiasi kwamba kila kitu anasifiwa alie juu kicheo badala ya wananchi, kodi zimechangwa na wananchi utasikia anasifiwa wa juu kajenga barabara 😂 hapo majuzi tu Trump katishia kusitisha msaada, viongozi waafrika wakawa mstari wa mbele kulia utadhani msaada ni haki yao.
How old are you?
 
Ni kweli, hata ona Makala anazoandika Erythrocyte
 
Mwenye akili kazaliwa na yupo Bukina Capatai Ibrahim Traore kapindua meza na sasa Manyangau wanataka kumua but Allah anamlinda .Kidume kaamua na liwalo na liwe Maraisi na viongozi wote waafrika wanaona aibu zile za kuwa hatuwezi au hatuna akili au bila ya wazungu zinaanza kufikia tamati .NOTHING IMPOSIBLE ktk dunia hii ni UTHUBUTI tu.
 
Ndio ukutane na miafrika imevaa mikanzu inacheza bao ikisubiri siku iishe.
 
Watu wa ajabu na wapuuzi kabisa ni Wahindi.

Waafrika tunajidharau tu.

Na biashara ya utumwa na ubaguzi wa rangi, ulitufanya tukashindwa kujiamini moaka leo.
Hapana si kweli mkuu,mbona mataifa yalitawaliwa kimabavu kama sisi lakini leo hii yamepiga hatua kubwa kimaendeleo?,mfano mzuri ni china ilitawaliwa mda mrefu na japan, nchi zote za Korea nazo zilitawaliwa na japan,leo hii ziko mbali,why sisi!??
 
Hapana labda wewe mkuu ndio huna akili ,elewa kila mtu anaakili ila tunatofautiana namna ya kuzitumia
Kwaa Afrika matumizi ya akili kwetu yana fanyiwa ukomo mfano mtu anaweza kugundua kitu kama gari la maji akifahamika anapigwa marufuku na kutishiwa uhai aiseeeee.
 
Back
Top Bottom