Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu

Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa, ukiwafatilia wengi wanawaza mshahara, posho za vikao, n.k. sio kutatua matatizo.

Ukija kwenye mambo ya Taknolojia, Mwafrika yupo nyuma sana, kaendekeza sana mambo ya kuamini USHIRIKINA, mpqka leo waafrika tunahangaika kubuni helikopta, mambo yaliyofanywa kitambo.

Kwenye mambo ya utawala bado sanaa, serikali zetu zinaanda mpaka hafla ya kuzindua vyoo, uchawa ni mwingi sana kiasi kwamba kila kitu anasifiwa alie juu kicheo badala ya wananchi, kodi zimechangwa na wananchi utasikia anasifiwa wa juu kajenga barabara πŸ˜‚ hapo majuzi tu Trump katishia kusitisha msaada, viongozi waafrika wakawa mstari wa mbele kulia utadhani msaada ni haki yao.
 
Watu wa ajabu na wapuuzi kabisa ni Wahindi.

Waafrika tunajidharau tu.

Na biashara ya utumwa na ubaguzi wa rangi, ulitufanya tukashindwa kujiamini moaka leo.
 
Mmm india elimu yao sio kama ya kwenu huko
India kila mtu anataka kuwa Daktari, Mhasibu au Engineer.

Wamekomaa sana huko ila India ni nchi ya ******* vibaya sana.

Chafuuuu.

Wanakunya hadharani

Mavi kila kona.


Wachafuuu

Mji una kelele, omba omba, vumbiiii.

Kote, India, Bangladesh, Pakistan, ovyoooo.

Sema wako wengi.

mkishakuwa wengi, survival of the fittest lazima wapambanaji wawepo watafute maisha yaende.


View: https://youtu.be/L8H_I-JvJgQ?si=MzxQjRgiHqMES_bj
 
Vipi tukija upande wa Mambo ya asili wazungu wanawazidi wa Afrika katika sekta hiyo? Nifikirivyo kila mtu anauelewa wa kutosha katika mazingira ambayo amekuwa exposed. Mmang'ati anaechunga ng'ombe makuzi yake yote inataka agundue kutengeneza ndege? Au mzungu anaeshinda kutengeneza simu ukimpeleka eneo la wahadzabe utamwona genius?
 
Tutafikaje Sasa kwenye kiwango Cha Akili?
 
Pamoja na madhaifu yao india ni level nyingine mkuu

Wana nuclear - ni nchi nane tu zeneye nuclear

Ceos wa makampuni makubwa duniani kama Apple, Microsoft, Google, n.k. wamewekwa wahindi, wanaendelea kujazana huko Silicon Valley.

Wamedominate uchumi wa nchi kadhaa ikiwemo nchi za Africa Mashariki (Hapa Tz wahindi ndio wameshika uchumi wakifuatiwa na waarabu, then ndio waafrika)

Wana herufi zao za kuandikia toka miaka ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…