Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

Nchi yoyote ikishakuwa na watu wengi, wanaondoka kwenda kutafuta nje.

Ndio maana Wakenya, Somali, Nigeria wako huko.

Kuwa na utaniri huku Afrika sisi ndio tunawapa kwasababu tukiona mgu mweupe, tunatetemeka.

Hata akija omba omba wa Kihindi hapa, miaka 2 anakuwa tajiri maana tutampa


View: https://youtu.be/Nnpg6TnAoL4?si=2-EtNbkzucKEPGaH
 
Na bado huyo kiongozi wa nchi anasifiwa, kupongezwa na kuimbiwa mi 5 Tena! Yawezekana Tanzania inaongoza Kwa kuwa na wananchi wajinga Dunia nzima
Ujinga unachangiwa na umaskini

Ccm wanapenda wananchi waliomasikini hoehae ni rahisi kuwatala

Wakirushiwa firigisi ndio hao wanaanza kuimba ujinga ujinga sjui mitano😁😁
 
Sasa kama wewe mwenyewe hauna impact kwa dunia unataka mwafrika yupi awe na impact badala yako?
 
wahindi sio matajiri tu kwa Afrika tu

Ni mpaka Marekani

Karibia hoteli 6 katika kila kumi ni za wahindi

Silicon Valley sehemu inayoongoza kwa mishahara minono, ma manager wengi ni wahindi na waajirwa wengi ni wahindi
 
Race ya mwisho kabisa kwa kutokuwa na akili ni waarabu. Jitahidi uwe unafuatilia mambo sio kukurupuka tu.
 
Acha ukumbaff. Asiye na akili ni wewe siyo Waafrika wote.
 
Huwezi shangaa, tuvijiti ( toothpick) tunatoka ugaibuni wakati miti yetu tunawauzia magogo kisha wanatuchongea tuvijiti twakutolea mabaki ya nyama ya broiler kuku nasiyekuwa na Baba, unaona kuna akili hapo, kuna viberit vya bongo kiweke nje kidogo ukiwasha njitu haIwa7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…