little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Nchi yoyote ikishakuwa na watu wengi, wanaondoka kwenda kutafuta nje.
Ndio maana Wakenya, Somali, Nigeria wako huko.
Kuwa na utaniri huku Afrika sisi ndio tunawapa kwasababu tukiona mgu mweupe, tunatetemeka.
Hata akija omba omba wa Kihindi hapa, miaka 2 anakuwa tajiri maana tutampa
View: https://youtu.be/Nnpg6TnAoL4?si=2-EtNbkzucKEPGaH
Race ya mwisho kabisa kwa kutokuwa na akili ni waarabu. Jitahidi uwe unafuatilia mambo sio kukurupuka tu.
Yas, ndio wa mwisho kabisa. Toka dunia imeumbwa hawajawahi kufanya jambo lolote la maana.Waarabu hawa hawa waliopewa mbuga, misitu, hadi bandari ?
jibu rahisi hawana akili waafrika.kama mleta mada alivyosema.Mbona waafrika wengi pia wanakazwa
Acha chuki kuwa mstaarabuhakuna sehemu ina uislamu mwingi kama afrika …
How old are you?Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu
Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa, ukiwafatilia wengi wanawaza mshahara, posho za vikao, n.k. sio kutatua matatizo.
Ukija kwenye mambo ya Taknolojia, Mwafrika yupo nyuma sana, kaendekeza sana mambo ya kuamini USHIRIKINA, mpqka leo waafrika tunahangaika kubuni helikopta, mambo yaliyofanywa kitambo.
Kwenye mambo ya utawala bado sanaa, serikali zetu zinaanda mpaka hafla ya kuzindua vyoo, uchawa ni mwingi sana kiasi kwamba kila kitu anasifiwa alie juu kicheo badala ya wananchi, kodi zimechangwa na wananchi utasikia anasifiwa wa juu kajenga barabara 😂 hapo majuzi tu Trump katishia kusitisha msaada, viongozi waafrika wakawa mstari wa mbele kulia utadhani msaada ni haki yao.
Ni kweli, hata ona Makala anazoandika ErythrocyteSisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu
Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa, ukiwafatilia wengi wanawaza mshahara, posho za vikao, n.k. sio kutatua matatizo.
Ukija kwenye mambo ya Taknolojia, Mwafrika yupo nyuma sana, kaendekeza sana mambo ya kuamini USHIRIKINA, mpqka leo waafrika tunahangaika kubuni helikopta, mambo yaliyofanywa kitambo.
Kwenye mambo ya utawala bado sanaa, serikali zetu zinaanda mpaka hafla ya kuzindua vyoo, uchawa ni mwingi sana kiasi kwamba kila kitu anasifiwa alie juu kicheo badala ya wananchi, kodi zimechangwa na wananchi utasikia anasifiwa wa juu kajenga barabara 😂 hapo majuzi tu Trump katishia kusitisha msaada, viongozi waafrika wakawa mstari wa mbele kulia utadhani msaada ni haki yao.
Hapana si kweli mkuu,mbona mataifa yalitawaliwa kimabavu kama sisi lakini leo hii yamepiga hatua kubwa kimaendeleo?,mfano mzuri ni china ilitawaliwa mda mrefu na japan, nchi zote za Korea nazo zilitawaliwa na japan,leo hii ziko mbali,why sisi!??Watu wa ajabu na wapuuzi kabisa ni Wahindi.
Waafrika tunajidharau tu.
Na biashara ya utumwa na ubaguzi wa rangi, ulitufanya tukashindwa kujiamini moaka leo.