Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

kuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.

Tuungane Pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukemea utovu wa kimaadili kuanzia kwenye familia zetu πŸ’
Huyo huyo unayemtaja kwenye hafla zake/zao mashoga wanatia timu...kuanzia wanamuziki,wabunifu wa mavaz nk
Vita vya ushoga tz ni unafki tu

Ova
 
Akuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.

Tuungane Pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukemea utovu wa kimaadili kuanzia kwenye familia zetu πŸ’
Ni kuwaangalia tu Acha wanyanduane maana hakuna namna

Ova
 
Huyo huyo unayemtaja kwenye hafla zake/zao mashoga wanatia timu...kuanzia wanamuziki,wabunifu wa mavaz nk
Vita vya ushoga tz ni unafki tu

Ova
Rais Dr Samia Suluhu Hassan hawez kuja nyumbani kwako akakwambia wafundishe wanawe maadili mema. Tanzania ni familia yake, ina kila aina ya watoto wenye utovu wa kimaadili tofauti tofauti, na hata waliongia kwenye hali hiyo kama ndio mwanawe kwenye familia yako utamua au utamfanyeje?

Jambo hili la aibu sio la kuskiza maelekezo kutoka kwa fulani. Ni kama ukimwi tu πŸ’
 
mbona hili swala linakusumbua??
hajafanya hivo kwasababu tuna mambo muhimu ya kufanya zaid

Unataka aruhusu muoane au
 
Rais wetu nae ni ombaomba tu, Kila siku Yuko nje kuomba
 
Ndy mpambane na hali zenu na malezi...
Ila watoto sahv wana713 sana
Vitoto vya kiume ukiviangalia
Life style zao syo kabisa

Ova
 
Rais wa Burundi kakemea ushoga, huko nje amekuwa a laughing stock mpaka wa late night TV comedians. Huko Tanzania watu hawajali haki za binadamu.

Nchi za kimagharibi ni za kipuuzi sana
 
Ndy mpambane na hali zenu na malezi...
Ila watoto sahv wana713 sana
Vitoto vya kiume ukiviangalia
Life style zao syo kabisa

Ova
ni jukumu la familia na jamii nzima, ukizembea ktka familia yako aibu na fedheha itaanza kwenye familia kabla ya jamii na Taifa zima kwa ujumla πŸ’πŸ’
 
..inasemekana ZANZIBAR ndio makao makuu ya ushoga hapa Tanzania.
 
ni jukumu la familia na jamii nzima, ukizembea ktka familia yako aibu na fedheha itaanza kwenye familia kabla ya jamii na Taifa zima kwa ujumla πŸ’πŸ’
Mpk 2035 nchi itakuwa nyakanyaka

Ova
 
We mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.
Kwa nini unashindwa kujadili hoja bila kui personalize kwangu?

Unajuaje nina mtoto?

Na nikiwa na mtoto ambaye sipendi awe shoga ina maana gani? Ina maana nilazimishe dunia nzima ya watu wanaopenda ushoga wasipende ushoga?

Kwani nikiwa na mwanangu halafu sipendi awe polisi hilo lina maana nipige vita watu wote wa dunia nzima wasiwe polisi?

Kwa nini watu hamuelewi haki za watu kuwa na uhuru binafsi wa kuamua maisha yao?

Wewe ambaye hupendi ushoga ukilazimishwa upende ushoga utafurahi?
 
Nchi za kimagharibi ni za kipuuzi sana
Hapana, si hivyo.

Huyo rais amesema anataka mashoga wapigwe mawe, kauli za kurudi zama za medieval.



Hao watu wa magharibi wameelewa suala la haki ya kibinadamu ya uhuru wa mtu binafsi.

Ukishaondokankwenye mfumo wa utawala wa sheria, huo ndio mwanzo wa kumzushia mpinzani wako shoga na kumpiga mawe auawe tu. Hii habari itakuumiza hata wewe unayejifanya hupendi mashoga.

Huko Afrika mnapelekwapelekwa kupangiwa maisha kijamiijamii tu, hamuelewi wala kuthamini uhuru wa mtu binafsi kujipangia maisha yake mwenyewe.

Na inawezekana kabisa usinielewe kama samaki anayeishi baharini asivyoweza kuelewa hali ya jangwani Sahara katikati.
 
Kama uwongo ilikuweje mpaka leo mwakyembe na mwandishi habari yule bint , hawajawahi kuambiwa na serikali waombe msamaha labda kwa kutoa kauli za uwongo(ONYO)
Unafikiri ilikuwa uwongo
Mbona wapo mashoga na proffesional zao

Ova
 
Rais ana akili timamu hawezi poteza muda wake kujadili mambo ya faragha yenye less than 0.1% impact kwenye jamii. Kuna mambo mengi na ya msingi ya Rais kujadili yanayogusa maslahi ya jamii as a whole kuliko ishu ya ushoga. Wewe ukiulizwa unamjua shoga yeyote kwenye circle yako more likely hakuna ila unataka Rais apoteze muda kujadili ujinga ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…