Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Urais ni jalala, kila ambaye maisha yanamshinda anadhani akikutukana ndio atapata ahueni ya kuishi kwa afadhali.Akisafir nongwa , asiposafiri nongwa pia...hiki cheo kinahitaji mtu mwenye roho ngumu aisee lelemama lazima isande𤣠huyu mama mpaka namuonea huruma aiseee
Mwingine akili hana kabisa lakini hizo hizo chache anazokuwa nazo anaamini akikutukana ataonekana ni mtu mwenye kueleweka maishani mwake.
Ni kazi ngumu sana kuongoza nchi iliyojaa watu wengi waliokata tamaa na wanaoelekea kukata tamaa muda wowote ule.