Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko cop hawezi kukosekana kwasababu yeye ni mwanachama wa hiyo taasisi [UN]ya kishetani,na anajitahidi kutekeleza ajenda zao vizuri kwa kutumia kaulimbiu yao ya MABADILIKO YA TABIA NCHI [CLIMATE CHANGE], madhara ya COVID 19 na vita vya Urusi na Ukraine, Israel na Palestina.Zambia alipata dola bilioni ngapi?
Naomba link mkuu nijifunze hili
And from what ki know, Bado ssh Ana kijiti cha cop na mwakani ana jambo kubwa Africa hapa bongo
Mifumo yetu ya elimu haijaweza kwenda na wakati kama ile ya wachina. Hiyo ni changamoto ya afrika nzima.Hawa wananchi wajinga wamezalishwa na serikali ipi mkuu
Kabana bajetiTangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu ampe makavu live?
Je ameogopa maswali magumu kutoka kwa waandishi nguli wa kimataifa wa habari kuhusu kuminya demokrasia nchini?
Je ameogopa viongozi wenzake wa kimataifa kuanza kumtilia shaka kuhusu uwezo wake wa kuongoza nchi?
Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu ampe makavu live?
Je ameogopa maswali magumu kutoka kwa waandishi nguli wa kimataifa wa habari kuhusu kuminya demokrasia nchini?
Je ameogopa viongozi wenzake wa kimataifa kuanza kumtilia shaka kuhusu uwezo wake wa kuongoza nchi?
aliyeelewa hili gazeti la chuki asamaraiziSamia ana poteza interest na siasa za kimataifa na kujikita zaidi kwenye siasa za ndani. Hususan kwenye kipindi hiki anapojiandaa na uchaguzi na kuona anapata upinzani mkubwa nchini.
Amejiona hana ushawishi kwenye siasa za kimataifa, kwa sababu kujenga ushawishi kunataka akili kubwa. Hawezi kuongelea na kuongoza hoja kubwa za kimataifa kama Nyerere alivyoongelea uhuru wa Africa, au nchi za kusini kuungana dhidi ya udhalimu wa kibeberu wa power structure ya dunia.
Samia alipewa nafasi ya kipekee kuongoza mazungumzo ya climate justice kwenye kikao cha Sharm el-Sheikh, Egyot, Climate Change Conference (COP 27). Sio tu Samia alishindwa kusimamia hoja hii muhinu kimataifa, hata aliporudi Tanzania, alishindwa kuwaelezea Watanzania kwamba alichaguliwa kuongoza mazungumzo haya muhinu. Matokeo yake, wenzetu wa Zambia walichukua fursa hii kupata dola za kinarekani mabilioni, karibu dola bilioni kumi, huku Tanzania ikiondoa bila deal la muhimu licha ya rais wetu kuongoza mazungumzo hayo.
Hata Samia alivyorudi Tanzania, Mkurugenzi wa habari wa Ikulu wa wakati huo, Zahra Yunus, katika press conference yake ya kuelezea mkutano huo, alifanya kile waandiahi wa habari wanachoita "burying the lead" kwa kuweka kimstari kimoja kidogo ndaaani kabisa ya press conference kuelezea Samia alivyoongoza, kinyoonge, kama walikuwa wanaficha kitu vile.
Samia hana agenda ya kimataifa. Sasa hivi anahaha kupigana na kina Mbowe na CHADEMA, anajipendekeza kwa machifu ambao hawana hata legal mandate Tanzania.
Anazua vita zisizo na sababu na mabalozi wa nje walio Tanzania. Ukimsikiliza unaona kabisa huyu ni rais ambaye shule yake iko chini sana na uwezo wake ni mdogo sana, na hajui anafanya nini, anataka kushika madaraka kwa nguvu halafu hajui hayo nadaraka ayafanyie nini zaidi ya kupiga hela na kujikimbikizia mali, na kutukana watu kwa siasa za majitaka na hotuba za mipasho tu.
Akienda UN atasema nini? Kajikuta like vibe la UN ni la hotuba za kifalsafa na geopolitics, yeye anapenda vibe la kusifiwa na chawa wake ambao huko UN hawapo.
Sasa aende UN kufanya nini wakati chawa wake wapo TZ?
Alisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Na alianza kama yuko tofauti na Magufuki, lakini sasa kafuata nyayo mbaya za Magufuli mpaka kukacha vikao vya UN.
Mifumo yetu ya elimu haijaweza kwenda na wakati kama ile ya wachina. Hiyo ni changamoto ya afrika nzima.
Kibaya zaidi ongezeko la watu halina uwiano na uwezo wa serikali kuu wa kutimiza mahitaji ya raia hao.as
Wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo tu, hiyo samaraizi unaisingizia tu.aliyeelewa hili gazeti la chuki asamaraizi
Jibu sahihi zaidi ni hilo la mwisho!!Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu ampe makavu live?
Je ameogopa maswali magumu kutoka kwa waandishi nguli wa kimataifa wa habari kuhusu kuminya demokrasia nchini?
Je ameogopa viongozi wenzake wa kimataifa kuanza kumtilia shaka kuhusu uwezo wake wa kuongoza nchi?
Mpaka kitchen party akialikwa anaenda.Taja mualiko hata mmoja ambao alialikwa hakwenda
Siasa inatumikia watu badala ya watu kuitumikia siasa. Afrika ukifikiria sana utaumia moyo kila siku.Wezi Wanadanganya watu kutumia mifumo ya nchi kama Norway ,uswis ,Dermak n.k. Nchi hizi zinawalipa wananchi wake wote pesa za kujikimu na kuwajengea nyumba za kuishi wetu wote . Hakuna muuza karanga anayewaza kununua kiwanja na kujijengea kibanda chake kwenye mkondo wa maji . Huku mpaka kiwanja mtu anagharamikia upimaji na tozo za majengo kwa nyumba mtu aliyojenga mwenyewe.
Hizo tozo za majengo zinatozwa kwenye nyumba zilizojengwa na serikali ili serikali iendelee kujengea wengine .
Sasa kwa nchi inayotoza kodi mpaka mifugo ni faida kubwa sana kuwa na watu wengi kwani mfuko wa serikali unajaa kwa haraka.
Angalia kodi inayotokana na mafuta,umeme,maji ,simu ,magari , pikipiki ,mazao ni nyingi sana kutokana na wingi wa watu wasiorejeshewa matokeo ya mtu mmoja mmoja.
Dawa watu wanaonunua ndio maana hospitali madaktari wengine ni mabilionea kwa sababu ya soko kubwa la wagonjwa lakini serikali inapigwa .
Magufuli alifanikiwa sana katika kujenga miundo mbinu kutokana na kujua faida inayotokana na wingi wa watu. Mfano alipiga mahesabu makali sana ya kisasyansi na kugundua kuwa Machinga wapo wengi nchi nzima. Wakitozwa ushuru 500 kwa mwaka ni sh. sh. 180,000/ . Ni pesa nyingi sana lakini karibu zote zinaishia mfukoni mwa watu . Seriali inashindwa kujega masoko ya kisasa.
Yule ginus wa kisukuma (RIP) akasema wafu walipe sh. 20,000/- tu kwa mwaka lakini zifike moja kwa moja kwake . Yaani ni alishusha kiwango cha ushuru kwa mwaka kwa 85% kutoka kwenye kiwango cha sh. 180,000/ kwa mwaka .
Pesa zilifika kwa na kuenga masoko ya kisasa kwa kasi ya 7G.
Hiyo ni huduma za kijamii zilizotokana na pato la wingi wa watu tena wa hali ya chini.
Ingekua ni nchi ambayo inasema kila mtu apewe pesa za kujikimu ,afya bure ,elimu bure mpaka chuo kikuu,maji bure, nyumba inajengwa na serikali ,umeme bei sawa na bure ,usafiri wa umma unagharamikiwa kwa kiwango kikubwa na serikali hapo kweli uchache wa watu ungekua ni muhimu sana.
Hawa mafisadi Wamewamezesha uovu wasomi wetu ili kuimarisha ufisadi na wizi wa mali za umma.
China wapo zaidi ya bil. moja kwa idadi lakini ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na yanayokwenda haraka katika sayansi na teknolojia na kiuchumi kwa sasa .
Tanzania serikali hakuna chochote inachokitoa bure kwa wananchi wake zaidi ya ujanja unaofanywa kuhadaa wetu na pesa zake watu wanazipiga tu.
Tanzania ina kodi na tozo nyingi kuliko nchi nyingi sana duniani lakini matokeo ya tozo hizo zinaishia kwenye mifuko ya watu wachache na kuiacha nchi na madeni.
Tanzania unakuta Mtu anayetoza ushuru sokoni kila siku anamiliki nyumba yenye thamani kubwa kuliko soko lenyewe , mtu iwaanatoza ushuru wa stendi anamiliki ghorofa lakini stendi ni ya vumbi haina hata choo .
Unaambiwa elimu bure lakini michango ni mingi kuliko wakati wa kutoa ada . Ni mifumo tu ya ulaghai ili watu wapate kura na wasiwajibike ipasavyo.
Ushuru kila kona, kwa mwaka ni pesa nyingi lakini hazisomani zinaishia mifukoni mwa wetu serikali inabaki kukopa nje ili kujenga dispensari ya kijiji lakini mtoza ushuru ana miliki maghorofa na magari kwenye kijiji hichohicho .