Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Urais ni jalala, kila ambaye maisha yanamshinda anadhani akikutukana ndio atapata ahueni ya kuishi kwa afadhali.Akisafir nongwa , asiposafiri nongwa pia...hiki cheo kinahitaji mtu mwenye roho ngumu aisee lelemama lazima isande𤣠huyu mama mpaka namuonea huruma aiseee
Hiki cheo ni kigumu sana mkuu watu tu hawaelewi, kuongoza watu zaidi ya mil60 si mchezo halafu mwanamke... Najua wanawake ni viumbe wanaoongozwa na mihemuko, hapo lazima ujikorogeUrais ni jalala, kila ambaye maisha yanamshinda anadhani akikutukana ndio atapata ahueni ya kuishi kwa afadhali.
Mwingine akili hana kabisa lakini hizo hizo chache anazokuwa nazo anaamini akikutukana ataonekana ni mtu mwenye kueleweka maishani mwake.
Ni kazi ngumu sana kuongoza nchi iliyojaa watu wengi waliokata tamaa na wanaoelekea kukata tamaa muda wowote ule.
Uko sahihi mkuu, katiba ya nchi ni mbovu, wengi wanaokiwazia kiti hicho ni kwa ajiri manufaa yao binafsiWatu wanaongoza zaidi ya watu bilioni moja sembuse milioni 60! Sema mfumo wa kutawala ni wa kibinafsi na kificho!
Kuongoza wajinga wengi ni tatizo, unakutana na upinzani mwingi hata katika masuala ya kawaida tu. Linakuwa ni taifa lenye kujaa ubishi wenye kusababishwa na elimu pamoja na upeo ulio mdogo.Hiki cheo ni kigumu sana mkuu watu tu hawaelewi, kuongoza watu zaidi ya mil60 si mchezo halafu mwanamke... Najua wanawake ni viumbe wanaoongozwa na mihemuko, hapo lazima ujikoroge
Hawa wananchi wajinga wamezalishwa na serikali ipi mkuuKuongoza wajinga wengi ni tatizo, unakutana na upinzani mwingi hata katika masuala ya kawaida tu. Linakuwa ni taifa lenye kujaa ubishi wenye kusababishwa na elimu pamoja na upeo ulio mdogo.
Ujerumani kwa miaka kumi na tano ilikuwa na waziri mkuu mwanamke na kila kitu kilienda kama kilivyopaswa kwenda.
Hii nchi inahitaji vichwa ngumu mfano Marehemu JPM, aliiweza sana. Inahitaji mtu kauzu pale ikulu.
Serikali yetu inapenda sana wananchi wajinga kwa kuwa ni rahisi kuwatawala, kuwaburuza, kuwarubuni na kuwaibia! šššHawa wananchi wajinga wamezalishwa na serikali ipi mkuu
Anavyopenda kusafiri unadhani asingekwenda huko?Akisafir nongwa , asiposafiri nongwa pia...hiki cheo kinahitaji mtu mwenye roho ngumu aisee lelemama lazima isande𤣠huyu mama mpaka namuonea huruma aiseee
hakiki uelewa na taarifa zakoVimefanyika vikao vitatu na amehudhuria vyote na hiki kingekuwa kikao cha nne kama angehudhuria.
CHADEMA mnavieleele aiseee! Mmemsaliti mwenyekt wenu bado mnamchokoza Amir jeshi mkuuTangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu ampe makavu live?
Je ameogopa maswali magumu kutoka kwa waandishi nguli wa kimataifa wa habari kuhusu kuminya demokrasia nchini?
Je ameogopa viongozi wenzake wa kimataifa kuanza kumtilia shaka kuhusu uwezo wake wa kuongoza nchi?
Nyie dawa yenu ni moja tuuAnavyopenda kusafiri unadhani asingekwenda huko?
Amejichanganya kwa hiyo anaogopa.
Alisema serikali yake si ya samaki.Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa anamsubiri kwa hamu ampe makavu live?
Je ameogopa maswali magumu kutoka kwa waandishi nguli wa kimataifa wa habari kuhusu kuminya demokrasia nchini?
Je ameogopa viongozi wenzake wa kimataifa kuanza kumtilia shaka kuhusu uwezo wake wa kuongoza nchi?
Tatizo we mda wote tigo inakuwashaSiyo kweli, mama Rais Samia mialiko anayohudhuria nchi za nje ni kidogo sana kuliko asiyohudhuria.
. Akisema ahudhurie mialiko yote hatutamwona Tanzania.
Nani alikudanganya?
Hasira za nini kijana, kwani ukiandika kiheshima utapungukiwwa nini?Tatizo we mda wote tigo inakuwasha
Tatizo we ajuza umalaya umeanzia uzeeniHasira za nini kijana, kwani ukiandika kiheshima utapungukiwwa nini?
Acha uongo ulisomea ujinga shuleniSiyo kweli, mama Rais Samia mialiko anayohudhuria nchi za nje ni kidogo sana kuliko asiyohudhuria.
. Akisema ahudhurie mialiko yote hatutamwona Tanzania.
Nani alikudanganya?
Unataka kumfananisha na wewe?Acha uongo ulisomea ujinga shuleni
Mzalamu wa mkulanga au kisarawe!Unataka kumfananisha na wewe?