Kwa nini Rais Samia hajaenda New York kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

Wabongo walikuwa wanamsubiria huko kwa hamu πŸ˜„ alishtuka

Ova
 
Zambia alipata dola bilioni ngapi?

Naomba link mkuu nijifunze hili

And from what ki know, Bado ssh Ana kijiti cha cop na mwakani ana jambo kubwa Africa hapa bongo
Huko cop hawezi kukosekana kwasababu yeye ni mwanachama wa hiyo taasisi [UN]ya kishetani,na anajitahidi kutekeleza ajenda zao vizuri kwa kutumia kaulimbiu yao ya MABADILIKO YA TABIA NCHI [CLIMATE CHANGE], madhara ya COVID 19 na vita vya Urusi na Ukraine, Israel na Palestina.
Haya mambo JPMAGUFULI alijitahidi kujitenga nayo sana,akatafsiriwa vibaya kuwa anavunja uhusiano na mataifa ya nje n.k.Sasa huyu aliyesifiwa amerudisha uhusiano ulioharibiwa na JPM,kwa kaulimbiu yao ileile ya COVID 19 & CLIMATE CHANGE,akatuletea chanjo [zenye chip],masoko yakapigwa moto pamoja na shule mbalimbali,fukuza wamachinga na kuwatia hasara, mifumuko ya bei isiyomithilika,hali ngumu ya maisha pamoja na Kuteka na kupoteza/kuua.Haya yote yapo kwenye ajenda zao [UN Agenda 21-2030 Goals]HAKUNA RANGI TUTAACHA KUONA CHINI YA UTAWALA HUU.
Yajayo yanafurahisha.
 
Hawa wananchi wajinga wamezalishwa na serikali ipi mkuu
Mifumo yetu ya elimu haijaweza kwenda na wakati kama ile ya wachina. Hiyo ni changamoto ya afrika nzima.

Kibaya zaidi ongezeko la watu halina uwiano na uwezo wa serikali kuu wa kutimiza mahitaji ya raia hao.
 
Kabana bajeti
 

Rais wa nchi anayehutubia majeshi yake akiwa na hasira huku akiwataja anaodai kuwa ni adui wa utawala wake mara nyingi anakuwa ni Dikteta na hategemei sheria za nchi kushughulika na anaodhani wanavunja sheria. UN kazi yao kubwa ni kudhibiti madikteta ili kuzuia mauaji ya raia wasio na hatia . Tawala za kidikteta zimeleta matatizo na mauaji makubwa sana duniani mpaka vita za dunia zilisababishwa na madikteta japo udikteta unaharakisha sana maendeleo ya vitu .

Mtu safi kabisa kabisa Ikulu ni mahali patakatifu. Na uongozi ni mzigo na dhamana nzito sana hasa kuongoza nchi maskini .
Ukiona mtu anakimbilia ikulu hasa kwa kutumia rushwa za fedha na pikipiki Muogopeni kama ukoma. Kuna biashara inaendelea ndio maana sasa hawatumii tu rushwa kubaki madarakani bali damu za watu.
Wataanza sasa kila damu za watu alimradi tu waogopwe na kupigiwa magoti
 
aliyeelewa hili gazeti la chuki asamaraizi
 
Mifumo yetu ya elimu haijaweza kwenda na wakati kama ile ya wachina. Hiyo ni changamoto ya afrika nzima.

Kibaya zaidi ongezeko la watu halina uwiano na uwezo wa serikali kuu wa kutimiza mahitaji ya raia hao.as

Wezi Wanadanganya watu kutumia mifumo ya nchi kama Norway ,uswis ,Dermak n.k. Nchi hizi zinawalipa wananchi wake wote pesa za kujikimu na kuwajengea nyumba za kuishi wetu wote . Hakuna muuza karanga anayewaza kununua kiwanja na kujijengea kibanda chake kwenye mkondo wa maji . Huku mpaka kiwanja mtu anagharamikia upimaji na tozo za majengo kwa nyumba mtu aliyojenga mwenyewe.
Hizo tozo za majengo zinatozwa kwenye nyumba zilizojengwa na serikali ili serikali iendelee kujengea wengine .

Sasa kwa nchi inayotoza kodi mpaka mifugo ni faida kubwa sana kuwa na watu wengi kwani mfuko wa serikali unajaa kwa haraka.
Angalia kodi inayotokana na mafuta,umeme,maji ,simu ,magari , pikipiki ,mazao ni nyingi sana kutokana na wingi wa watu wasiorejeshewa matokeo ya mtu mmoja mmoja.
Dawa watu wanaonunua ndio maana hospitali madaktari wengine ni mabilionea kwa sababu ya soko kubwa la wagonjwa lakini serikali inapigwa .

Magufuli alifanikiwa sana katika kujenga miundo mbinu kutokana na kujua faida inayotokana na wingi wa watu. Mfano alipiga mahesabu makali sana ya kisasyansi na kugundua kuwa Machinga wapo wengi nchi nzima. Wakitozwa ushuru 500 kwa mwaka ni sh. sh. 180,000/ . Ni pesa nyingi sana lakini karibu zote zinaishia mfukoni mwa watu . Seriali inashindwa kujega masoko ya kisasa.
Yule ginus wa kisukuma (RIP) akasema wafu walipe sh. 20,000/- tu kwa mwaka lakini zifike moja kwa moja kwake . Yaani ni alishusha kiwango cha ushuru kwa mwaka kwa 85% kutoka kwenye kiwango cha sh. 180,000/ kwa mwaka .
Pesa zilifika kwa na kuenga masoko ya kisasa kwa kasi ya 7G.
Hiyo ni huduma za kijamii zilizotokana na pato la wingi wa watu tena wa hali ya chini.
Ingekua ni nchi ambayo inasema kila mtu apewe pesa za kujikimu ,afya bure ,elimu bure mpaka chuo kikuu,maji bure, nyumba inajengwa na serikali ,umeme bei sawa na bure ,usafiri wa umma unagharamikiwa kwa kiwango kikubwa na serikali hapo kweli uchache wa watu ungekua ni muhimu sana.
Hawa mafisadi Wamewamezesha uovu wasomi wetu ili kuimarisha ufisadi na wizi wa mali za umma.
China wapo zaidi ya bil. moja kwa idadi lakini ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na yanayokwenda haraka katika sayansi na teknolojia na kiuchumi kwa sasa .
Tanzania serikali hakuna chochote inachokitoa bure kwa wananchi wake zaidi ya ujanja unaofanywa kuhadaa wetu na pesa zake watu wanazipiga tu.
Tanzania ina kodi na tozo nyingi kuliko nchi nyingi sana duniani lakini matokeo ya tozo hizo zinaishia kwenye mifuko ya watu wachache na kuiacha nchi na madeni.
Tanzania unakuta Mtu anayetoza ushuru sokoni kila siku anamiliki nyumba yenye thamani kubwa kuliko soko lenyewe , mtu iwaanatoza ushuru wa stendi anamiliki ghorofa lakini stendi ni ya vumbi haina hata choo .
Unaambiwa elimu bure lakini michango ni mingi kuliko wakati wa kutoa ada . Ni mifumo tu ya ulaghai ili watu wapate kura na wasiwajibike ipasavyo.
Ushuru kila kona, kwa mwaka ni pesa nyingi lakini hazisomani zinaishia mifukoni mwa wetu serikali inabaki kukopa nje ili kujenga dispensari ya kijiji lakini mtoza ushuru ana miliki maghorofa na magari kwenye kijiji hichohicho .
 
aliyeelewa hili gazeti la chuki asamaraizi
Wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo tu, hiyo samaraizi unaisingizia tu.

Kama hili gazeti utaweza kusoma long article ya "The Economist" wewe kifulambute?

Utaweza kusoma Leo Tolstoy's "War and Peace"?

Utaweza kumsoma Thomas Piketty katika "Capital in the 21st Century" ?

Utaweza kumsoma Dr. Robert Sapolsky katika "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst" ?

Utaweza kumsoma Edward Gibbon katika "The Decline and Fall of the Roman Empire" ?

Utaweza kumsoma Martin Meredith katika "The Fortunes of Africa : A 5,000 Year History of Wealth, Greed and Endeavor" ?

Utaweza kumsoma Jacques Barzun katika "From Dawn to Decadence - 1500 to Present. 500 Years History of Western Cultural Life".

Utaweza hata kummaliza Paul Bjerk katika "Building a Peaceful Nation : Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1960 - 1964" ?
 
Ngoja chawa wake waje kukukaanga bila mafuta 😁
 
Jibu sahihi zaidi ni hilo la mwisho!!
 
Ni wazi amemuhofia yule binti wa Kipare mtoto wa Kimambi,ilikuwa azomewa na kuupashwa apashike mbele ya Dunia nzimaπŸ₯±
 
Siasa inatumikia watu badala ya watu kuitumikia siasa. Afrika ukifikiria sana utaumia moyo kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…