Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini unaposema self taught Programmer unamaanisha hawana Formal University degree ya computer science au related field.Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
Job Alikuwa ni mjasiriamali, woz ndio alikua Brain behind.Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
Anaeulizwa hapa ni nani mkuuKuna kitu kinaitwa statistics outliers unakijua
Hii itakuwa haijachangiwa na yale makafara ya Lindi & BagamoyoAta jukwaa la tech tu apa JF limelala sana...ila nenda kaangalie jukwaa la tech kule Nairaland forum vile kuna moto
Unachanganya mambo.Job Alikuwa ni mjasiriamali, woz ndio alikua Brain behind.
Na mbona Marehemu Ali mufuruki Alikuwa vizuri tu na comparable na hao jamaa? Alikuwa na visions zake jinsi Africa ilivyotakiwa kuwa operated na Alikuwa chairman wa Board za vodacom na Wananchi holdings (pia alimiliki Asilimia kadhaa)
Moja ya vitu alivyotuachia ni Fiber ya Zuku ambayo kwa muono wangu ni moja kati ya vitu vizuri kabisa kutokea kwenye Tasnia ya Technology Tanzania. Na Hata Vodacom somehow ni most Reliable Network.
Hata kwenye Ukwasi jamaa Alikuwa vizuri, si level za Kina Bill Gate ila Alikuwa na hela Za kumuita millionaire na Mara kwa Mara Alikuwa akitajwa kwenye list ya watu 10 wenye Hela zaidi Tanzania.
Na mimi nimemtaja huyo baada ya kumuelezea Job, mtoa mada amemtaja Job, role ya Job na Mufuruki ni moja.Unachanganya mambo.
Jamaa anazungumzia programmers in coders, wewe unazungumzia investors in technology.
Ali alikuwa investor sio programmer.
Bosi.Na mimi nimemtaja huyo baada ya kumuelezea Job, mtoa mada amemtaja Job, role ya Job na Mufuruki ni moja.
Na Mufuruki si investor tu, kabla ya ku invest kwenye wananchi cable alikua tayari Chairman, hivyo alipewa role ya kumake decision na kui shape kampuni kabla hata haja invest.
Na pia Mufuruki ni programmer alivyomaliza Elimu yake Ujerumani alikuwa ni Programmer wa magari amefanya kazi Benz kabla ya Kuacha kazi na kurudi Tanzania na akawa Founder WA Infotech.
Na Infotech inadili na mambo mengi ya ICT inapewa Tenda mbalimbali ikiwemo serikali, waliwahi kuwa na Tenda ya Zain (Airtel) na wengineo.
Vyovyote utakavyoweka Historia ya jamaa haina Tofauti na wajuu waliotajwaa.
Unazungumzia Ali wa 2000s Soma Historia yake 1970s mpaka 2000s.Bosi.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Ali na Job.
Job alikuwa ni hands on stakeholder kwenye tech business, Job alikuwa ni CEO, alikuwa yuko engaged na day to day businesses kuanzia, Job alikuwa anaingia lab na kuinteract na engineers.
Ali alikuwa ni investor au staeholder at Board level. He was more of a business strategist, hakuwa na technical know how ya technology,
alifanya kazi benz, well, sababu alikuwa mechanical engineer not a computer somebody.
Hata hizo tender za zain, serikalini zikuwa ni trading, ama alikuwa anasupply upward au down ward.
Yeye Mwenyewe alikuwa anasema yeye ni muuza nguo, sasa kuja kumuweka chumba kimoja na steven kwa kweli hatutakuwa tunatenda haki.
Upo sawa tunazidiwa na forim ta Naira ya Nigeria.Ata jukwaa la tech tu apa JF limelala sana...ila nenda kaangalie jukwaa la tech kule Nairaland forum vile kuna moto
What is virtual sim card.Sijajua aina gani vijana unakutana nao lkn mm naona ilo litabadilika hivi karibuni
Kama wiki 3 au 4 ivi vyuma nilialikwa sehemu kuna project ya digital insurance ilikua inafanyika yan kwa mfano mm na mpango wa kusafiri kwenda india nakata bima yangu online ikitokea nimeugua au chochote ile bima yangu itanisaidia. Pia ivyo ivyo kwa watalii wanao kuja huku africa huko walipo wanaweza ku kata bima. Pia nikaona card zao za bima zana contain health profile yako labda mtu amedondoka gafla ile kadi yako ikofika hospitalini waki scan wanaweza kujua dawa za mwisho ww kutumia, group la damu, contact za docta wako, presha nk. Kusema ukweli jinsi nilivyoona documentation zao project jinsi ilivyo kwa miaka 2 au 3 mbele sijui watakuwa wamefika wapi. Mm mwenyewe na mpango we kupata ata 20% ya firm yao
Pia mwaka jana mwishoni nilipata kuongea na wanafunzi wa udsm hawa majamaa wana mpango we kufanya virtual simcard
Mm mwenyewe hapa mungu akitujalia uzima by 2023 tutaanza development ya digital bank. Nikisema digital bank simaanishi digital wallet yani miaka ya baadae utakua huna haja ya kuwa na account ya benk crdb, nmb sijui exim
Ata jukwaa la tech tu apa JF limelala sana...ila nenda kaangalie jukwaa la tech kule Nairaland forum vile kuna moto
Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
Afu watu wanamchukulia poa Bill gates,ukiachana na yeye kua kichwa hata familia yao walikua Ni matajiri tu wa miaka hio.Dingi ake alikua anamiliki(partner) wa Law firm iliyokua Kwny top 10 ya law firm kubwa US,maza ake nae alikua fresh kifedha.Hapo hata family support inakuwepo kiaina.
Kuwa na watu kama Bill na hao wengine ni ngumu ndugu
Kwanza katika tech industry sisi status yetu kama nchi naweza sema ni ya viwango vya chini kabisa coz we only import technologies
Sema kuna jamaa mmoja alisema usije mfananisha drop out wa Havard na graduates wa college nyingine
Issue iko hivi ukijifundisha mwenyewe kuprogram muhimu uwe na mtaji ili uweze kujenga empire yako jambo ambalo ni changamoto, na kama si hivyo basi upate ajira na linapokuja jambo la ajira, they(employers) need certificates ndio mfumo wa ajira zetu otherwise uwe exceptional kwenye hiyo field but who cares!
Again ili uweze kumake money kama self taught programmer utahitaji ata uzijue concept nyepesi za networking and probably you need to know the hardware part of a computer na kama hii itaprove right, basi itabidi utumie mda mrefu kitu ambacho sio rafiki kwa maisha ya wengi hapa tz