Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

Wanaija kwenye tech wametuacha mbali sanaaa.
Kuna dogo mmoja(Nigerian) alianzisha Richrobotics, aliipambania ndoto yake mpaka akapata funder USA na Europe sasa hivi ni kampuni kubwa ya game ipo uingereza yeye ni mmoja wa waanzilishi. Historia yake ni funzo kwetu.
Kunamwingine yeye ni Robot engineermimemsahau jina) ndio anakampuni inayofanya vizuri ulaya , inaunda medical robots.Anna robot bira za kisasa katika sekta ya Afya. Sisi tumelaka sana.
Ngoje ntaleta makala zao hapa tujifunze kitu.
 
Wakenya pia sio wenzetu.

Kuna huyu dogo anaitwa Mubarak Muyika, alikuwa ni orphan akiwa na miaka 10. Alipofikisha miaka 16 akafungua kampuni yake ya tech inaitwa Hype Century na miaka miwili baadae akaiuza kwa six figures. Sasahivi yupo Silicon Valley wenyewe walimchkua wanamtumia maana waliona ni asset kubwa sana na anarun kampuni yake nyingine huko inaitwa Zagace.
 
Unazungumzia Ali wa 2000s Soma Historia yake 1970s mpaka 2000s.

Miaka ya 2000 tayari ana Hela Ndefu ndio maana ukaona tayari anafanya uwekezaji Mkubwa.

Na mkuu unafikiri unaweza ukawa wa kawaida tu kupewa Uchairman makampuni kibao ya Kimataifa Tena kwa muda mmoja? Unahitaji Historia fulani hivi ya ukweli kuaminiwa na makampuni kama haya.

Ali amesoma Reutlingen huko Ujerumani walikuwa wanafunzi 48, lakini mpaka wanamaliza waliobaki ni 24 tu wengine walifeli, na kati ya hao 24 ni 8 tu ndio walichukuliwa na Daimler (watengenezaji wa Benz na yeye akiwa kama programmer.

Hivyo alianza kama mwajiriwa kwa miaka miwli kabla ya ku rudi Tz na kujiajiri.

Kipindi hicho cha 80s na 90s Ali hustle kama wengine kuji establish. Na sio tu kwamba alikuwa na hela na kuanza ku invest.
Bosi, narudia tena, Ali alisomea mechanical engineer, na katika utafutaji wake hajawahi ku career kwenye mambo ya computer, iwe programming career, net working, etc
 
Wakenya pia sio wenzetu.

Kuna huyu dogo anaitwa Mubarak Muyika, alikuwa ni orphan akiwa na miaka 10. Alipofikisha miaka 16 akafungua kampuni yake ya tech inaitwa Hype Century na miaka miwili baadae akaiuza kwa six figures. Sasahivi yupo Silicon Valley wenyewe walimchkua wanamtumia maana waliona ni asset kubwa sana na anarun kampuni yake nyingine huko inaitwa Zagace.

Vipi kuhusu wakenya
 
Kuna dogo mmoja(Nigerian) alianzisha Richrobotics, aliipambania ndoto yake mpaka akapata funder USA na Europe sasa hivi ni kampuni kubwa ya game ipo uingereza yeye ni mmoja wa waanzilishi. Historia yake ni funzo kwetu.
Kunamwingine yeye ni Robot engineermimemsahau jina) ndio anakampuni inayofanya vizuri ulaya , inaunda medical robots.Anna robot bira za kisasa katika sekta ya Afya. Sisi tumelaka sana.
Ngoje ntaleta makala zao hapa tujifunze kitu.
Hili swala tukilizungumzia Kitanzania zaidi tutapotea.
Ukiangalia nchi zote Africa ambako kuna muhamko mkubwa wa technologia utakuta nchi hizo ama tayari zinamuako wa kuinteract na mataifa ya ulaya na marekani kwa muda mrefu au, tayari kuna ukwasi fulani hivi wa kutosha hata kama uko concentrated kwenye mikono ya watu wachache.

hizi tech projects ni time consuming, kama unanjaa huwezi kuwa resilient mpaka kufanikiwa.

Wapo watanzania wenye uwezo mkubwa sana na wamesoma hapahapa nchini, lakini njaa zimewasababisha kukomalia ajira makampuni ya simu
 
Afu watu wanamchukulia poa Bill gates,ukiachana na yeye kua kichwa hata familia yao walikua Ni matajiri tu wa miaka hio.Dingi ake alikua anamiliki(partner) wa Law firm iliyokua Kwny top 10 ya law firm kubwa US,maza ake nae alikua fresh kifedha.Hapo hata family support inakuwepo kiaina.
Watu wanafikiri Bill Gates alitokea tu. Mtu mpaka anaweza kwenda kusoma Harvard mara nyingi hata nyumbani kwao kunakua fresh sana tu.
 
Kwani hizi innovation hubs zina kazi gani? Wao ni kupiga tenda za consulting tu ila kumentor startups from scratch to Unicorns haziwezi na wanapata funds kibao.
Shame!!
Hizi hubs naona kama sehemu watu wanakutana wanakunywa chai wanaongea kwa kujifurahisha alafu wanaondoka.
Ni kama hizi economic forums hazijawahi kuwa na tangible impact kwenye jamii.
 
Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
Historia, toka utumwa,ukoloni, ujamaa (no creativity), toka ujamaa unapata ajira serikalini unazeeka unakufa, watoto wako wanafikiri ajira ndiyo suruisho la maisha, hii trend inatoka kizazi kwenda kizazi , pia serikali na siasa zetu hazitowi kipaumbele ya creativity ya watu kufanya mambo yao ya kutengeneza biashara zao na kufanikiwa, ukianzisha kampuni siku hiyo ndo unaanza mgogoro na serikali, kodi, vibari, lenseni, brela, siasa, hivi vyote vinafanya watu hata kama uko vizuri kichwani utaonekana boya tu. Ambaye yuko serikalini hataweza kuona wewe unafanikiwa kama yeye anapata mshahara na Maisha duni atataka na wewe uishi hayo maisha kwa kukupa kodi kubwa na figisu nyingi. Tanzania hakuna mfanyabiashara ambaye anaweza kusema alipata pesa kwa njia halali. Wafanyabiashara wote wakubwa, eti ooo nilianza kuuza chapati, oo nilianza kuuza kalamu, oo nilianza kulima, wote wamepata pesa toka serikalini kwa njia ya wizi, rushwa, misaada mikubwa inazimwa kimya kimya anapewa mtu anaanzisha biashara wenye hisa wako serikalini. Wanaendelea kuiba , lakini kama ukienda nao tofauti kodi ya kukufilisisi inakuhusu, au kukuuwa kabisa. Mfano mkemia mkuu alipokatwa mapanga na kufa Dr. Fupi kisa alikataa kutoa kibari Cha kuingiza mchele mibovu ,baada ya kifo mchele ukaingizwa, leo hao waliongiza mchele ni mabillionea kwa gharama za afya ya watanzania. Kwa hiyo Tanzania hatuna matajiri ambao wamepata pesa kwa halali kabisa.
 
Na mimi nimemtaja huyo baada ya kumuelezea Job, mtoa mada amemtaja Job, role ya Job na Mufuruki ni moja.

Na Mufuruki si investor tu, kabla ya ku invest kwenye wananchi cable alikua tayari Chairman, hivyo alipewa role ya kumake decision na kui shape kampuni kabla hata haja invest.

Na pia Mufuruki ni programmer alivyomaliza Elimu yake Ujerumani alikuwa ni Programmer wa magari amefanya kazi Benz kabla ya Kuacha kazi na kurudi Tanzania na akawa Founder WA Infotech.

Na Infotech inadili na mambo mengi ya ICT inapewa Tenda mbalimbali ikiwemo serikali, waliwahi kuwa na Tenda ya Zain (Airtel) na wengineo.

Vyovyote utakavyoweka Historia ya jamaa haina Tofauti na wajuu waliotajwaa.
JOB was two sided coin man, a scientist and good manager.
Jack ma ndio investor asie scientist
 
Hili swala tukilizungumzia Kitanzania zaidi tutapotea.
Ukiangalia nchi zote Africa ambako kuna muhamko mkubwa wa technologia utakuta nchi hizo ama tayari zinamuako wa kuinteract na mataifa ya ulaya na marekani kwa muda mrefu au, tayari kuna ukwasi fulani hivi wa kutosha hata kama uko concentrated kwenye mikono ya watu wachache.

hizi tech projects ni time consuming, kama unanjaa huwezi kuwa resilient mpaka kufanikiwa.

Wapo watanzania wenye uwezo mkubwa sana na wamesoma hapahapa nchini, lakini njaa zimewasababisha kukomalia ajira makampuni ya simu
Ni ukweli kabisa. Ili ufanikiwe katika kazi za ubunifu hautakiwi kuwa kwenye uoga wa kuogopa kustarve. Unatakiwa kuwa na uhakika kuwa hata hii ishu ikibuma bado nitaweza kula na kupata mahitaji muhimu.
Sehemu ambayo watu muda wote wanaogopa kuingiliwa na njaa ubunifu hauwezi kutokea.

Nini kifanyike? Serikali au makampuni ya watu binafsi yaanzishe hisi tech hubs na business incubators. Mtu afanye ubunifu wake bila uoga wa kulala njaa.
 
Back
Top Bottom