Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Alternatively, badala ya watu kuinvest kwenye starehe baada ya muda wa kazi, watumie muda huo ama kujiendeleza au kuanzisha personal projects.Ni ukweli kabisa. Ili ufanikiwe katika kazi za ubunifu hautakiwi kuwa kwenye uoga wa kuogopa kustarve. Unatakiwa kuwa na uhakika kuwa hata hii ishu ikibuma bado nitaweza kula na kupata mahitaji muhimu.
Sehemu ambayo watu muda wote wanaogopa kuingiliwa na njaa ubunifu hauwezi kutokea.
Nini kifanyike? Serikali au makampuni ya watu binafsi yaanzishe hisi tech hubs na business incubators. Mtu afanye ubunifu wake bila uoga wa kulala njaa.
I very much believe, watu wawili mpaka watano wakiwa na one resolution, wakikusanyika kupunch codes kwa aim fulani hiyo ni tech lab ya kutosha kabisa.
kutegemea serikali na makampuni ya kibongo kuanzisha successive tech hubs ni sawa na kusubiri jua lishuke, wanasiasa wetu, wafanyabiashara na business executive wengi wako very defective when it comes kwenye kuanzisha projects ambazo they may end up gaining nothing in person.