Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

Yah nakubliana na wewe. Hata tesla hanamchango kivile. Hivi spacex inaingizaje faida??
Space X sio public traded company, hatujui kama I napata Faida ama hasara, Sema ina MA sugar Daddy wa kutosha, ina raise hela ndefu ku fund hizo projects.
 
Sasa inakuwaje musk anakua tajiri wa dunia
Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, Hisa, Utajiri wa Hisa hautabiriki Kabisa, jamaa mwaka jana alikuwa na $27B na mwaka huu amefika $180B zaidi ya Mara 6 Utajiri umeongezeka sababu Ya Tesla.

800px-Elon_Musk_net_worth_graph.png


Lakini haimaaanishi ana hio cash, sababu Tesla si kampuni kubwa kivile na pato lake ni Around 30B kwa mwaka.
 
Vijana mnaotoka vyuon mna mawazo ya ajabu kwel...hata sis tulikua kama wew
 
Back
Top Bottom