Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

Alternatively, badala ya watu kuinvest kwenye starehe baada ya muda wa kazi, watumie muda huo ama kujiendeleza au kuanzisha personal projects.

I very much believe, watu wawili mpaka watano wakiwa na one resolution, wakikusanyika kupunch codes kwa aim fulani hiyo ni tech lab ya kutosha kabisa.

kutegemea serikali na makampuni ya kibongo kuanzisha successive tech hubs ni sawa na kusubiri jua lishuke, wanasiasa wetu, wafanyabiashara na business executive wengi wako very defective when it comes kwenye kuanzisha projects ambazo they may end up gaining nothing in person.
 
whatever that programming could be. haiwezi kuwa programming tunayoizungumzia hapa asilani.
Maybe ipo tofauti na ya Sasa ila concept ni ile ile, nimewahi kudeal na Malori ya Benzi kijuu juu haya ma used ya miaka 10 ama 20 iliopita na yapo full computerized, tofauti yake na Scania/Daf/Faw ni kubwa sana.

Una connect na pc na software zao, diagnosis na mambo mbalimbali unafanya kwa pc.

Nime google pia Gari zimeanza kuwa computerized as early as 1950s mfano Hao Benz Potential tech ambayo inaweza ikawa Developed kipindi hicho cha 80s (imezinduliwa 90s) ni ESP, ambayo ni computerized system inayo hesabu mizunguko ya Tairi, incase Tairi moja linazunguka sana kuliko Jengine ina apply Automatic brake kwenye Tairi husika ku balance speed ili matairi yote Yazunguke sawa.
 
kuna mtoto wa mjomba wangu huyu mshkaji ni hatari mkuu mimi nashuhudia alikuwa ana harakati za compyuta toka mdogo ..alikuwa anafanya operation ndogo ndogo nakumbuka alikuwaga form four nilionaga itu flani kwenye computer baadae nilikuja kugundua ni kama code alitengenezaga kigemu kidogo hivi ,,akaenda shule kachaguliwa havard sasa hii yuko kati ya ma engineer wa shirika kubwa la mitandao a kijamii duniani
 
Chief hebu mjadili na ilon musk wa tesla
 
Chief hebu mjadili na ilon musk wa tesla
Elon mkuu nikinyamaza ni bora zaidi kuliko nikiongea, huwa simkubali kivile kama inventor mzuri ni mzee wa hype na uongo mwinyi, anawakamata sana watu wasio Fuatilia vitu.

Ila Musk kama Mjasiriamali yupo vizuri sana, a najua Awaswage vipi kondoo kujiingizia kipato.

Hivyo ni Kama Steve JOB, ni mfanyabiashara Mzuri na Ceo Mzuri, lakini sio Inventor mzuri kama wanavyotukuzwa.
 
Mkuu ungetupa details kidogo wengine tukiona spacex, telsa sijui dogcoin tinaona jamaa anakuja kuwa tilionea
 
Mkuu ungetupa details kidogo wengine tukiona spacex, telsa sijui dogcoin tinaona jamaa anakuja kuwa tilionea
Mfano hio Dogecoin Tetesi ni kwamba jamaa alishazinunua za kutosha anampiga watu kamba sasa hivi wanunue na kuchimba kwa wingi. Zikipanda thamani anauza kisha anawaacha kwenye Mataa.
 
Hebu tuelezee hio side ya pili ya u-scientis alibase kwenye nini na alicontribute kitu gani?
Kutengeneza fonts za maandishi.
The art of fonts tena amethibisha kwenye video moja kuwa hilo wazo billgate alikuja kulikopi, tafuts hio video ameeleza jinsi alivyoipata hio idea.
Alisoma electronics and he was leading a team as scientist.
Ni kana Elon Musk mostly anafanya jazi ya kuongoza yeam kuliko kudizaini yeye binafsi.
Kumbuka katika kampuni probkems zinakuwa solved kama team na si indivudually.

Mambo ya kusolve tatizo individually yalishapitwa na wakati muda mrefu, it is vary layer .
Hata bill gate mwanzoni tu ndio alikuwa ana solve code mwenyewe baadae akawa anaajili team yakufanya innivation za microsoft.

Mimi na wewe uelewa wetu tofauti, mimi najua Job was drop out electronics scientist, therefore he was drop out scientist not businessman !
Jiulize kwa nini tangu Job age Appke hawana cha maana walichoiletea duni zaidi ya kulemba teknolojia za nyuma? Because the geneus behind the innovation wad dead.Job was a monster, kubali kataa
 
Unamfatilia kiukweli.
Ujue zile rocket ameshiriki kudizaini injini zake. Kasome historia jinsi alivyo anzisha space X.
Yeye ndie eleta odea ya re isef rocket.
Bila Musk mpaka sasa vitu vingi vingekuwa kama hadithi ya kufikirika tu.
Ni bora uwe na Musk mmoja kuliko kuwa na mainjinia wadiokuwa na maono laki.
Dunia nzima kuna maelfu ya mainjia wanacontribute nini!
Kazi ya injinia mzuri ni ku lead the team.
 
Kwa ninavyofahamu.
1. Elon Musk Hana paper hata moja ya Sayansi aliyopublish
2. Job pia Hana,

Kama kuna sehemu sijaona wanazo mwenye uelewa zaidi aniwekee link


Soma hii Article inamuelezea vizuri JOB

Jamaa alikuwa a najua marketing, Artist, designer etc ila sio technical guy kwamba ata design simu ama ku engineer kitu. Wozniack ndio alikuwa Computer Genious wakati wanaanzisha Apple.

Na kutengeneza Fonts hakukufanyi kuwa Scientist, kuna mamilioni ya Fonts Duniani, even Mtaani kuna wachoraji kibao Wana miandiko na fonts mbalimbali.

Na job mwenyewe usifikiri tu alikuwa Genious kaanzisha kampuni ikawa top Duniani, imemchukua miaka karibia 20 alikuwa ana Struggle na kuna wakati walikuwa Almost wanafilisika huyo Bill gate unayemkandia ndio aliye waokoa.

Na hata alivyotoa hizo simu/tablet na yeye alicopy sehemu kibao Technology za wengine, hakua Malaika.
 
Niletee pepa zake ama ushahidi wa ku design Hizo engine.
 
Yah nakubliana na wewe. Hata tesla hanamchango kivile. Hivi spacex inaingizaje faida??
 
Yah nakubliana na wewe. Hata tesla hanamchango kivile. Hivi spacex inaingizaje faida??
SpaceX simply inaingiza faida kwa kulaunch satellites kwenye orbit na mikataba ya NASA.

Pia sasa hivi wana StarLink hivyo nayo inawaingizia profit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…