Space X sio public traded company, hatujui kama I napata Faida ama hasara, Sema ina MA sugar Daddy wa kutosha, ina raise hela ndefu ku fund hizo projects.
Space X sio public traded company, hatujui kama I napata Faida ama hasara, Sema ina MA sugar Daddy wa kutosha, ina raise hela ndefu ku fund hizo projects.
Kama jamaa alivyokujibu hapo juu, Hisa, Utajiri wa Hisa hautabiriki Kabisa, jamaa mwaka jana alikuwa na $27B na mwaka huu amefika $180B zaidi ya Mara 6 Utajiri umeongezeka sababu Ya Tesla.
Lakini haimaaanishi ana hio cash, sababu Tesla si kampuni kubwa kivile na pato lake ni Around 30B kwa mwaka.