Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

Hhhhhhhhhhh pole sana kwa kuamini ngano za neno
 
Hebu lete hiyo Hadith hapa tuione. Maana sisi ambao hatuukubali uislam hiyo ni moja ya sababu ya kutokuukubali. Haiwezekani mtu ulibusu jiwe na kutupa mawe Kisha usamehewe dhambi, Imani ya hovyo sana hii.
 
Aya hiyo haipo, atakuletea Aya ambayo malaika waliambiwa wamsujudie Adam Kisha ibilisi akakataa, wakati ibilisi hajaambiwa amsujudie Adam ila waliambiwa malaika.
namsubiri hapa aje anambie kosa lake jamaa lilikuwa lipi,ikiwa mwamba anaonyesha kwamba ni mtii wa lile agizo kwamba wa kusujudiwa ni Allah pekee.
na hata hivyo yeye si malaika.

labda atauambie ibilisi alikuwa mmoja wa malaika au alikuwa ana kumbukumbu ya maagizo ya Allah kuliko Allah mwenyewe😆😆😆
 
Ukisema "wewe usiyekuwa na mafundisho ya kikatoliki huwezi elewa" inamaana ningumu kuelewa mambo ya kiimani mpka uelewe misingi na tamaduni za dini husika.
Hasa unapata wapi nguvu za kujibu mambo ya uislamu hali hujui kuhusu desturi za kiislamu?
Ni wapi nimejibu mambo ya uislam?
 
Allah kituko kweli kweli amezidiwa maarifa na ibilisi😆
 
Sasa we jamaa hapo waliambiwa ni malaika au ibilisi? Au huelewi kingereza?
Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.

Ibilisi alijua Amri inaenea kwa wote Malaika na yeye ambaye ni Jinni pekee aliyekuwa katika kundi hilo la Malaika ndio maana alivyogoma akaulizwa kwa Nini haujasudu na yeye hakusema kuwa Mimi sio Malaika bali alijua ila alijibu kwa majivuno kuwa hawezi kumsujudia kiumbe duni binadamu .
 
kwahiyo kwa Aya hii Iblees ni malaika!!!
Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.

Ibilisi alijua Amri inaenea kwa wote Malaika na yeye ambaye ni Jinni pekee aliyekuwa katika kundi hilo la Malaika ndio maana alivyogoma akaulizwa kwa Nini haujasudu na yeye hakusema kuwa Mimi sio Malaika bali alijua ila alijibu kwa majivuno kuwa hawezi kumsujudia kiumbe duni binadamu
.
 
Adam wakati anaumbwa alikuwa kiumbe duni kivipi?
 
Nishakwambia hivyo vitabu vimejaa ujinga na uongo.

Sasa watu wazima na elimu zao wanaamimi mwezi ulipasuka halafu dunia nzima haijaona halafu watu wa hiyo sehemu tu ndiyo waliona?

Ujinga gani huu?
 
Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.
kwa namna yoyote Ibilis anafanana sifa na malaika??au Allah alisahau??
wa kusujudiwa sio Allah pekee???
 

Huwa mnajinasibu kuwa uislamu ndio dini inayoendana na sayansi, huu ujuha wa huyo muarabu kupasua mwezi ukawa vipande viwili hauna mantiki kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…