tukubali kwamba ulikuwa muujiza,ila waliona Muhammad na washkaji zake tu.Huwa mnajinasibu kuwa uislamu ndio dini inayoendana na sayansi, huu ujuha wa huyo muarabu kupasua mwezi ukawa vipande viwili hauna mantiki kisayansi.
Kwa mfano ikiwa wewe upo kwenye kundi la wanawake, wapo 99 wewe wa 100. Ikatoka amri wanawake wote wapige magoti, na wewe utapiga?Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.
Ibilisi alijua Amri inaenea kwa wote Malaika na yeye ambaye ni Jinni pekee aliyekuwa katika kundi hilo la Malaika ndio maana alivyogoma akaulizwa kwa Nini haujasudu na yeye hakusema kuwa Mimi sio Malaika bali alijua ila alijibu kwa majivuno kuwa hawezi kumsujudia kiumbe duni binadamu .
Dini zote ni ujinga mtupu!Mudi bonge la reject na tapeli. Yani amewaaminisha waislamu jiwe moja jeusi la Makkah ambalo halina mshirika na halijazaa linatakasa na kusamehe dhambi lakini siyo Kwa MUNGU YESU.
adriz Adiosamigo
Yesu kutembea juu ya maji nalo je Kuna ushahidi wowote wa Kisayansi?
🤣🤣🤣Ibilisi alikuwa pamoja na kundi la Malaika , hata kikawaida kukiwa na bakuli la kilo Moja ya mchele ndani yake Kuna punje Tano za mtama lazima utabase kwenye wingi uatamwanbia mtu akuletee bakuli la mchele.
Ibilisi alijua Amri inaenea kwa wote Malaika na yeye ambaye ni Jinni pekee aliyekuwa katika kundi hilo la Malaika ndio maana alivyogoma akaulizwa kwa Nini haujasudu na yeye hakusema kuwa Mimi sio Malaika bali alijua ila alijibu kwa majivuno kuwa hawezi kumsujudia kiumbe duni binadamu .
watu walifufuliwa kwenye eneo liliokuwa localized na mashuhuda walilkuwepo issue ya mwezi ni universal lazima kuna watu mahala pengine wangeona.Ni swali la kawaida tu. Yesu alifufua wafu..Hakuna sayansi itakayothibitisha hili. Ila tunaliamini tu kama la mwezi
Mungu Yesu Ndio Kitu Gani Hiko...???Mudi bonge la reject na tapeli. Yani amewaaminisha waislamu jiwe moja jeusi la Makkah ambalo halina mshirika na halijazaa linatakasa na kusamehe dhambi lakini siyo Kwa MUNGU YESU.
adriz Adiosamigo
😆😆😆mlinzi yuko katikati ya wanafunzi,HM anatoa agizo wanafunzi wote wapige magoti,mlinzi anaendelea kusimama,anaulizwa kwanini wewe hujapiga magoti🤣🤣🤣.Kwa mfano ikiwa wewe upo kwenye kundi la wanawake, wapo 99 wewe wa 100. Ikatoka amri wanawake wote wapige magoti, na wewe utapiga?
Ibilisi alifata agizo la kwamba malaika ndo walitakiwa kusujudu. Umeelewa?
Wangeluleta mwezi hapa Afrika, tunautengeneza maramoja,Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2?
Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye mwezi mmoja tu!
View attachment 3390690
Kweli mkuu, tatizo lipo kwa Allah. Anaagiza malaika wasujudu kisha anauliza kwa nini jini hajasujudu🤣😆😆😆mlinzi yuko katikati ya wanafunzi,HM anatoa agizo wanafunzi wote wapige magoti,mlinzi anaendelea kusimama,anaulizwa kwanini wewe hujapiga magoti🤣🤣🤣.
mimi nafikiri tatizo litakuwa ni HM mwenyewe sio la mlinzi kabisa.
Soma vizuri hauajaniielewa bado , mbona umeenda opposite na nilichoandika !🤣🤣🤣
Ustadh hembu kuwa serious kidogo. Yani punje tano za mtamo zikiwa kwenye bakuli la mchele zinageuka kuwa mtama kwa sababu ziko chache!
Kama hivyo Mgalatia hana Moral authority wakutudai sisi ushahidi wa Kisayansi maana inatakiwa ahangaike kutafuta kwenye ya kwake kwanza kabla ya kudeal na ya upande mwingine.Hakuna ushaidi.
Ulikuwa unataka kusema nini?
Mi nilikuelewa, mbona hujanijibu?Soma vizuri hauajaniielewa bado , mbona umeenda opposite na nilichoandika !
Tufanye yupo sawa alielewa , basi alitakiwa a focus na hoja kuwa kwa kile kilichomfanya asisijudu kuwa yeye si Malaika .Kwa mfano ikiwa wewe upo kwenye kundi la wanawake, wapo 99 wewe wa 100. Ikatoka amri wanawake wote wapige magoti, na wewe utapiga?
Ibilisi alifata agizo la kwamba malaika ndo walitakiwa kusujudu. Umeelewa?
Ok vizuri, tukibaki kwenye point yenyewe sasa, kwa nini Allah anahoji kutokusujudu kwa jini wakati anaelewa wazi amri aliitoa kwa malaika?Tufanye yupo sawa alielewa , basi alitakiwa a focus na hoja kuwa kwa kile kilichomfanya asisijudu kuwa yeye si Malaika .
Hoja inachezwa hapo , mafano hata hata Baba yako hajakipu pesa ya kukuagiza kununua bidhaa dukani then akutume dukani wewe simply unatakiwa usimame kwenye hoja kuwa nipo mpka sasa kwa vile sina hela na haujanipa pesa basi , kuliko kumwambia kwa ujeuri kuwa hauna Mamlaka ya kunituma au Sasa hivi Mimi mkubwa sipaswi usiniamrishe kama mtoto.
Hapo unatoka nje ya msingi ambao ulitakiwa uusimamie.
Niacheni ninye. Dogo sikiza kaa na kutambua kunya ni haki yangu ya msingi maamae my universal human right. Huna na Hamna haki ya kuninyima kunya wee NYAMBULET.Kuhusu jiwe Jeusi Hadith ya Umar inaeleza vyema kabisa .
Dini ya Uislamu haina mambo ya ushirikina kabisa , kusema Yesu kuwa Mungu ni uovu na ushirikina mkubwa sana hata Biblia inajichanganya yenyewe . Yaani Mungu anamuomba Mungu mwengine amsaidie haya si maajabu kabisa ?
Sababu Shetani alielewa wazi Amri inamuhusu mpaka yeye hata kama hakutajwa specifically maana Kihadhi Malaika ana hadhi kubwa kuliko jini na Amri ilitolewa kwa kundi zima ambalo na yeye yupo tena wakubwa zake na wenye cheo zaidi yake wameamrishwa jambo hivyo kwake yeye mdogo inapaswa zaidi.Ok vizuri, tukibaki kwenye point yenyewe sasa, kwa nini Allah anahoji kutokusujudu kwa jini wakati anaelewa wazi amri aliitoa kwa malaika?
Uwongo. Lazima ninye KUNYA ni haki yangu.Sababu Shetani alielewa wazi Amri inamuhusu mpaka yeye hata kama hakutajwa specifically maana Kihadhi Malaika ana hadhi kubwa kuliko jini na Amri ilitolewa kwa kundi zima ambalo na yeye yupo tena wakubwa zake na wenye cheo zaidi yake wameamrishwa jambo hivyo kwake yeye mdogo inapaswa zaidi.
Na hakuna mahali katika Qu'ran pana indicate Shetani hakuelewa amri bali ianonyesha alipinga wazi kwa kibri. . Maana yeye alikuwa maisha yake kabla ya kufukuzwa alikuwa akikaa karibu na kuhusubiana na Malaika kwenye mambo mengi hivyo anaelewa taratibu na mambo ya huko kuwa Kuna mambo huwa yanawahusu wote pamoja na yeye . Hata kiutotoni mnaweza mkawa kundi la Watoto halafu pakasemwa Wakina Jumla mtaintwa ijapokuwa Juma mmoja kwa vile tu huyo ni Famous sana miongoni mwa watu kundini.
Mkuu unajitahidi kutetea hoja na kumuona ibilisi kama ni mkosa. Jamaa alikuwa sahihi kutokusujudu.Sababu Shetani alielewa wazi Amri inamuhusu mpaka yeye hata kama hakutajwa specifically maana Kihadhi Malaika ana hadhi kubwa kuliko jini na Amri ilitolewa kwa kundi zima ambalo na yeye yupo tena wakubwa zake na wenye cheo zaidi yake wameamrishwa jambo hivyo kwake yeye mdogo inapaswa zaidi.
Na hakuna mahali katika Qu'ran pana indicate Shetani hakuelewa amri bali ianonyesha alipinga wazi kwa kibri. . Maana yeye alikuwa maisha yake kabla ya kufukuzwa alikuwa akikaa karibu na kuhusubiana na Malaika kwenye mambo mengi hivyo anaelewa taratibu na mambo ya huko kuwa Kuna mambo huwa yanawahusu wote pamoja na yeye . Hata kiutotoni mnaweza mkawa kundi la Watoto halafu pakasemwa Wakina Jumla mtaintwa ijapokuwa Juma mmoja kwa vile tu huyo ni Famous sana miongoni mwa watu kundini.