Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Mwerevu sina baya nakucheki jinsi gani nikupige comeback maan umekosa adabu, mna overthink mambo, feminism ni hatarishi katika taifa ili 😎😀
Igweeeeeeee 🤣🤣 tema nyongoooooo upone
 
Ilikuaje kuaje kaka hebu share kama hutojali
Nilikuwa kwenye majukumu yangu,alikuja mgeni mwenye hali ya kibangibangi na ni kijana halafu huwa siwafagilii kabisa watu wa aina hiyo,na wengine wengi wa maeneo yale…
Ila jamaa akawa rafiki ghafla na katika kushare ikatokea ni mtu wa karibu sana na jamii yangu.Nilienda hadi mtaani nilipopata nafasi,ilikuwa kama miaka kumi na iliyopita,tulishare sana

Ila niseme tu. polisi tanzania.Fanyeni kazi zenu kiweledi.
 
Nimemjibu reply moja
Mimi na yeye mifumo haosomani
Ni mtu ambaye kama unataka utulivu wa akili sio wa ku interact nae

Kiufupi simkubali wala nini
Eti mifumo haisomani 😅😅😅😅.

Serikalini ukisikia mifumo haisomani, ujue kimeumana.
 
Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema:

Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini!

Ukimuuliza why? hana sababu
Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu

Hivi hili linawezekana vipi? 🤔
Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu?

Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata mhusika mwenyewe haijui?

Au mwingine atasema:

Mi mtu fulani namkubali ki noma noma

Ukimuuliza why? anasema
Basi namkubali tu

Hivi huwa kweli ni basi tu au kuna sababu fulani nyuma yake ambayo hata wewe mwenyewe huijui?

Au tuseme labda mtu humkubali mtu fulani bila kujua sababu, kumbe behind the scenes huyo mtu si mtu mzuri?

Yaani huwa kuna nguvu fulani inayotokea ndani yetu ambayo hatuielewi, ikitusukuma kumkubali au kutomkubali mtu fulani kwa sababu labda inajaribu kutuepusha na madhara ambayo yanaweza kutokea?

Au yote haya ni namna tu akili yetu inavyofanya observation, bila sisi kujitambua?

Na mwisho kabisa…

Je kutokumkubali mtu tafsiri yake ni chuki ?
Au kuna tafsiri nyingine ?

Chemsha bongo 🧠 na ShesRise_1 ✋️
Hata ma group ya damu nayo yanachangia kumpenda mtu au kumkataa..
 
Hii imekaa kisaikolojia zaidi!

Binadamu tuna tabia fiche(shadow) ambazo katika ukuaji wetu jamii ilitushepu tuzione hazifai na ili tuwe 'salama' ilitulazimu tuziache na tuvae mask(persona).

Kwenye 'shadow' kuna tabia zote nzuri na mbaya, na bahati nzuri hizi tabia za kwenye 'shadow' hazifi, utajitahidi kuzificha na conscious mind yako ila zenyewe zitaendelea kufanya kazi katika subconscious mind yako bila wewe kujua.


Hapa ndio utampenda au kumchukia mtu 'bila sababu' sababu ameakisi tabia fulani katika subconscious mind yako 'shadow' bila conscious mind yako kujua.

Mfano ulikulia katika mazingira yaliyokufanya uwe tegemezi (kihisia, kisaikolojia) ukubwani unaweza kujikuta unamchukia mtu ambae sio tegemezi bila conscious mind yako kujua kwanini.
 
Back
Top Bottom