Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
You are so much more mkuu, toa hizo fikra na body shamingKwa mimi huwa naona kumkubali au kutomkubali mtu, kunachangiwa na body appearance... Kwa mfano Kuna mtu akiniona mimi mcTobby na lipua langu𤧠likubwa au mategee anatokea tu kunichukia au kutonikubali ... Na unakuta hatujafanyiana ubaya ...