Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Mkuu asante sana sana kama una chakujazia karibu tena
Wanasemaga energy don't lie .

Mkuu hujawahi kutana na mtu arafu ulipomuoma pasipo hata kuongea nae akawa anakupa vibe la mtu flani familiar?

Yes sometimes watu Wana same spirit/energy

Hivi ni ngumu kumtambua mtu evil ane pretend kuwa mwema?

Mkuu!
Nikiendelea nitazua mada nyingine ya spirituality.
 
Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
 
Took me more than 6 good yrs na bado am scratching the surface.

Inategemea na uwezo wako wa intuition pia, je wewe ni spiritual person? (are you highly sensitive to stimulation) je unaweza kusense energy ya mtu hata kabla hajalitamka neno?
Duh 🙄 Hapana mi naishi zangu kama mnyoo (This is my moms saying) Akimaanisha kuna ulimwengu wako unaishi katikati ya ulimwengu huu ulipo.
 
Sure thing, but kuna kitu tayari kiko implanted na kina act kama compass ya maisha yako, either you know it or not.

Na kina affect what kind of people, places and things into your sorroundingd and awareness. Na hiyo ndo core frequency, ambayo huwezi kuijua kwa kufikiri pekee, unahitaji spiritual practices, either dini, au meditation. But pia ina differ with what works best for you..

Ila pia sio lazima kama unaona maisha yako yako sawa, maana bila kuwa na intention it's all meaningless. Hata mlevi kama anaona fulfillment kwenye kunywa hawezi kuona tatizo. The teacher shows up when you're ready.
 
Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Inatokea kwasababu hakuna historia ya ku trigger chuki ndani yako.. It has to do na malezi utotoni. Kama wazazi waliokufanya uwe safe na kutokufanya uishi in survival mode... Unakuwa open to criticism na kujua POV ya muhusika bila kumchukia yeye
 
Mkuu hii ni elimu mpya kwa baadhi yetu, tueleweshe kama tuko vidudu. Kwahiyo kwa mfano mimi nikizaliwa nikaanza kujitambua mimi ni binadamu, Hizo Frequency nazaliwa nazo au nafanya kitu fulani kuzipata?

Swali langu linajibu fact yenu ya kuwa binadamu tunatofautiana hizo energy/frequence.
Mfano mdogo tafakari na tafakuri kuhusu maisha ya wadudu kama nyuki, nzi, sisiminzi , vipepeo na wengineo.

Ulishajiuliza hao viumbe ufahamu wao au upeo wao upoje hadi wanaweza ku adapt na kuishi katika mazingira yao? Wanawezaje ku interact katika mazingira yao?

Nishati ipo ilikuwepo na itaendelea kuwepo. binti kiziwi usitafute nje kitu kilichokuwa ndani mwako.

Hivi ulishakutana na mtu anatafuta miwani aliyoivaa mwenyewe? Au ameshuka funguo ila anautafuta na hajui kama ameshika funguo mkononi?

Hupaswi kufanya chochote kuzipata sababu hizo nguvu,nishati tayari unavyo na zaidi ni wewe mwenyewe.
 
Sure thing, but kuna kitu tayari kiko implanted na kina act kama compass ya maisha yako, either you know it or not.

Na kina affect what kind of people, places and things into your sorroundingd and awareness. Na hiyo ndo core frequency, ambayo huwezi kuijua kwa kufikiri pekee, unahitaji spiritual practices, either dini, au meditation. But pia ina differ with what works best for you..

Ila pia sio lazima kama unaona maisha yako yako sawa, maana bila kuwa na intention it's all meaningless. Hata mlevi kama anaona fulfillment kwenye kunywa hawezi kuona tatizo. The teacher shows up when you're ready.
Aiseee, Somehow nimeelewa. But i will you guys to that.. Nafikiri ni mambo magumu.
 
Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Hapa unajiongelea wewe mwenyewe kabisa. Uko mtu poa sana hata uchokozwe vipi sijawahi kukuona ukipaniki wala kujibizana vibaya na mtu humu. You are an impenetrable emotional fortress ende Ai adimaya yu e loti aisee! 📌
 
Mfano mdogo tafakari na tafakuri kuhusu maisha ya wadudu kama nyuki, nzi, sisiminzi , vipepeo na wengineo.

Ulishajiuliza hao viumbe ufahamu wao au upeo wao upoje hadi wanaweza ku adapt na kuishi katika mazingira yao? Wanawezaje ku interact katika mazingira yao?

Nishati ipo ilikuwepo na itaendelea kuwepo. binti kiziwi usitafute nje kitu kilichokuwa ndani mwako.

Hivi ulishakutana na mtu anatafuta miwani aliyoivaa mwenyewe? Au ameshuka funguo ila anautafuta na hajui kama ameshika funguo mkononi?

Hupaswi kufanya chochote kuzipata sababu hizo nguvu,nishati tayari unavyo na zaidi ni wewe mwenyewe.
Got you champ, thank you.
 
Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Lazima uwe na ufahamu mkubwa sana au akili nyingi ili uweze kustahimili chuki na kuzi - neutralize. Ukiwa dhaifu kiakili, takataka za watu zitakutesa sana.

Mimi nimejifunza kwamba watu wengi wanakuwa wabaya au waovu kwa sababu ya ujinga tu. Hawajui wanalolifanya.

They act out of ignorance and they eventually and uncounciously project their inner insecurities upon others.

Tangu nijue hilo, nimekuwa nawapuuza sana. And of course i mock them whenever i get a chance.

Wengi wao ni mabichwa komwe.

Cc: Bichwa ndani ya dryer
 
Aiseee, Somehow nimeelewa. But i will you guys to that.. Nafikiri ni mambo magumu.
It depends na maisha yako kiujumla,historia yako, some people are never designed to know that.. Kwani life path number yako ni ipi? Sijui kuhusu zodiac signs! Ila to some extent navyo vinachangia.. Nilijua baada ya kujua life path number yangu
 
Lazima uwe na ufahamu mkubwa sana au akili nyingi ili uweze kustahimili chuki na kuzi - neutralize. Ukiwa dhaifu kiakili, takataka za watu zitakutesa sana.

Mimi nimejifunza kwamba watu wengi wanakuwa wabaya au waovu kwa sababu ya ujinga tu. Hawajui wanalolifanya.

They act out of ignorance and they eventually and uncounciously project their inner insecurities upon others.

Tangu nijue hilo, nimekuwa nawapuuza sana. And of course i mock them whenever i get a chance.

Wengi wao ni mabichwa komwe.
Ma mkwe kwa Nondo Una mwaga moto 🤣🤣🤣🤣🤣

Ntaendelea kupambana na wewe, kwanini unajifanyaga mjinga? 😀
 
Back
Top Bottom