Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Ila huu Uzi Kuna namna pia nimepa thinking capacity za watu humu.... Hapa nimeweza kutambua kuwa Kuna watu wana uelewa mpana sana ukilinganisha na wengine ambao comment zao zinaonyesha kichwani ni Empty set😇😎😎🫵..
NB: uki mind na kuleta emotions is up to you
 
Ila huu Uzi Kuna namna pia nimepa thinking capacity za watu humu.... Hapa nimeweza kutambua kuwa Kuna watu wana uelewa mpana sana ukilinganisha na wengine ambao comment zao zinaonyesha kichwani ni Empty set😇😎😎🫵..
NB: uki mind na kuleta emotions is up to you
Sio kwenye uzi huu tu
Sehemu zote watu wanatofautiana maarifa mkuu

Na kila mtu ana uwanja wake wa kujidai unaweza kumuona mtu hapa ni mweupe lakini kwa jambo lingine
Anajua zaidi

So usipime uhodari wa mtu kwa uzi mmoja

Kila la kheri katika uchambuzi wako mie najiokotea madini tu
 
Upo sahihi
Ukienda huko kwenye zodiac signal, mimi ni Virgo so nadhani unajua kuhusu Virgo bro 😂

Kamwe siwezi kuvumilia ku-interact na mtu asiye na nidhamu kwangu eti kwa sababu tu nionekane ni mtu poa
Hilo haliwezekani kabisa

Na sio kwamba nakuchukia no
Sina chuki na wewe, ila sipendi tu njia zako
Basi tuheshimiane tu hivyo tu yaani🙏🙏
Kumbe ndo maana una penda analysis na ku dive deep sana, via machapisho yako.

Sasa mdogo wangu ShesRise_1 nitakuajiri kwenye kampuni yangu unafaa kabisa kwa matumizi, forget about the drama.. I knew nothing was gonna work by the way
Screenshot_20260927_151843.jpg

Nitakutumia
 
Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Swali zuri sana mtu mmoja wapo ni mimi,huwa siwezi kukaa na chuki kwa muda mrefu,yani tunaweza kuzinguana sasa na muda sio mrefu napotezea.

Ila kwanza ifahamike hakuna mtu ambaye hachukii au hakasirki,hizi ni hisia ambazo tumeumbwa nazo na ndio ubinadamu wenyewe

Ila tofauti inakuja kwenye kuzihifadhi hizi hisa,kuna wengine wanahifadhi kwa muda mrefu,wengine muda wa kati na wengine akina sie,chap tu tunaendelea na maisha yetu kana kwamba hakuna kilichotokea aibu unaona wewe

Kwanza ni kujua chuki inakudhuru wewe mwenyewe,yes usifikiri eti nikiimchukia flani namkomoa au ntamfanya ajisikie vibaya,hapana huenda yeye ashasahau tayar,ila wewe kila ukimuona ndio unachefukwa zaidi,kwahiyo inakutafuna wewe mwenyewe

Kwahiyo ukishalijua hili basi you let it go,kwakuwa unajipa nafasi ya kujiponya mwenyewe

Lingine fikiria katika namna ambayo ni positive zaidi

Mfano:

Binti Kiziwi amenitukana,sasa hapa fikiri au jaribu kujua kwanini amenitukana. Huenda swala ambalo limetokea baina yetu lilikuwa kubwa sana kwake kulihandle ndio maana akajikuta kanitukana,huenda hayupo strong emotionally

Kwahiyo ukifikir kwa mtazamo huu unapata justification kwani yametokea haya yaliyotokea

Lingine ni Ile hali ya kuwa na stress free, huwezi kutokuwa na stress kama kila jambo unaliweka kichwani au moyoni,jifunze kuachilia mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako

Mtu kukutukana au kutokukutukana ni swali ambalo lipo nje ya uwezo wako,ila ambalo lipo ndani ya uwezo ni jinsi gani utaamua kulipokea hilo jambo,sasa amua kulipokea positively na the rest itakuwa amani tu
 
Back
Top Bottom