Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Sio kwenye uzi huu tu
Sehemu zote watu wanatofautiana maarifa mkuu

Na kila mtu ana uwanja wake wa kujidai unaweza kumuona mtu hapa ni mweupe lakini kwa jambo lingine
Anajua zaidi

So usipime uhodari wa mtu kwa uzi mmoja

Kila la kheri katika uchambuzi wako mie najiokotea madini tu
Nop uzuri mmoja jeiefu Kuna comment huwa naziangalia najua kabisa huyu mtu shule ipo kichwani
 
Back
Top Bottom