Pepe Madochi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 601
- 816
Make apo kwanza ncheke, ndo yale yale limtu linamchukia mwenzake bila sababu afu anakuja kuomba ushauri kwa wapwaπ΅βπ«Sikujua kama na deal na tahila π€£ππΌ
Ndio nagundua now bye π
Unaita majeshi yaje kukusaidia pigana vita peke yako ww si jike shupaπHebu tema nyongoo π€£π€£π€£π€£π
Ertugrul njoo uone huku
Omg π€£π€£π€£Unaita majeshi yaje kukusaidia pigana vita peke yako ww si jike shupaπ
Mwerevu sina baya nakucheki jinsi gani nikupige comeback maan umekosa adabu, mna overthink mambo, feminism ni hatarishi katika taifa ili ππOmg π€£π€£π€£
Haya tiririkaaaaaaaaa
Igweeeeeeee π€£π€£ tema nyongoooooo uponeMwerevu sina baya nakucheki jinsi gani nikupige comeback maan umekosa adabu, mna overthink mambo, feminism ni hatarishi katika taifa ili ππ
TAWILE π€€πIgweeeeeeee π€£π€£ tema nyongoooooo upone
Jeyihefu π€£π€£πTAWILE π€€π
Ilikuaje kuaje kaka hebu share kama hutojaliwithin this week Nilimchukia mtu aliyenikutanisha na familia yangu ya zamani.
Naona hatari mbele, na nashindwa kuwaokoa wanazengo acha niwaache muangamieπJeyihefu π€£π€£π
Endelea nakusikilizaNaona hatari mbele, na nashindwa kuwaokoa wanazengo acha niwaache muangamieπ
Tulia nikunyweshe dawa kisukari kipone tusije tukatangaza TANZIA π₯ΈπEndelea nakusikiliza
Mwagika mwagika
Unafichua uhalifu wako dhidi ya polisi ππMshana Jr vipi hapa naona mtu ananivaa akikuhusisha
Nini kinaendelea?
Nilikuwa kwenye majukumu yangu,alikuja mgeni mwenye hali ya kibangibangi na ni kijana halafu huwa siwafagilii kabisa watu wa aina hiyo,na wengine wengi wa maeneo yaleβ¦Ilikuaje kuaje kaka hebu share kama hutojali
Eti mifumo haisomani π π π π .Nimemjibu reply moja
Mimi na yeye mifumo haosomani
Ni mtu ambaye kama unataka utulivu wa akili sio wa ku interact nae
Kiufupi simkubali wala nini
Hata ma group ya damu nayo yanachangia kumpenda mtu au kumkataa..Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema:
Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini!
Ukimuuliza why? hana sababu
Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu
Hivi hili linawezekana vipi? π€
Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu?
Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata mhusika mwenyewe haijui?
Au mwingine atasema:
Mi mtu fulani namkubali ki noma noma
Ukimuuliza why? anasema
Basi namkubali tu
Hivi huwa kweli ni basi tu au kuna sababu fulani nyuma yake ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
Au tuseme labda mtu humkubali mtu fulani bila kujua sababu, kumbe behind the scenes huyo mtu si mtu mzuri?
Yaani huwa kuna nguvu fulani inayotokea ndani yetu ambayo hatuielewi, ikitusukuma kumkubali au kutomkubali mtu fulani kwa sababu labda inajaribu kutuepusha na madhara ambayo yanaweza kutokea?
Au yote haya ni namna tu akili yetu inavyofanya observation, bila sisi kujitambua?
Na mwisho kabisaβ¦
Je kutokumkubali mtu tafsiri yake ni chuki ?
Au kuna tafsiri nyingine ?
Chemsha bongo π§ na ShesRise_1 βοΈ