Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Endelea kusoma komenti huenda kuna kitu utakiokotezaTuachane na mademu.
Kumchukia mtu ghafla h bado sijaielewa.
Unyama bro 🤝Endelea kusoma komenti huenda kuna kitu utakiokoteza
Hata humu kuna member... ilitokea tu nikamuelewa tu hata sijui ni nini....Je mkuu umewahi kufikiria kwanini inakuwa hivi?
Mkuu hapa umenipa maarifa mazuri sana,na yanakidhi ushawishi kwa asilimia kubwa kwenye mada hiiUkisoma na kuijua sayansi ya Quantum physics inaweza kutoa majibu.
Kuna viumbe hai na viumbe visivyo hai katika mazingira yanayotuzunguka.
Chochote kilichokuwepo aidha unakiona au haukioni kwa macho kinakuwa kipo katika mtetemo/vibration.
Hata matter ambayo ipo kwenye solid form Imetengenezwa na particles na molecules ambazo kwa kiasi na kiwango fulani Kuna movements au vibration.
Binadamu, wanyama, wadudu n.k wanaishi katika energetic field Fulani ambayo inawasaidia ku interact.
Hizo energetic field zinakuwa katika frequency au masafa tofauti.
Masafa katika level za energy field yamegawanyika katika high frequency , low frequency & medium frequency.
Hii ina maana kwamba ili uweze kufikia high frequency lazima uwe katika mitetemo au high vibration pia, halikadhalika kwa low frequency unakuwa katika low vibes na hivyo hivyo kwenye masafa ya kati.
Tuje kwenye swali lako, kwanini unakuta unamkataa mtu au unamkubali mtu/kitu/ jambo? Bila sababu yoyote.
Kama ilivyo redio inavyofanya kazi kwenye masafa hivyo hivyo katika maisha ya nishati mambo hapo hivyo
Ukitaka kusikiliza TBC lazima itakulazimu u tune masafa ya TBC, pia ukitaka kusikiliza Radio One, Clouds, Wasafi ni mchakato huo huo.
Kwa binadamu/mnyama ambaye yupo kwenye masafa ya juu lazima automatic atavutia/attraction ya wenzake wenye mtetemo unaofanana au kushabihiana.
Kama upo kwenye masafa ya juu ambayo ni upendo, amani, furaha utavutia aina ya nishati kama yako.
Ukiwa kwenye mtetemo wa kati ni hivyo hivyo pia kwenye masafa ya chini kama wivu, chuki, hasira, aibu n.k utavutia wa design hiyo pia.
Kwa hiyo kinachofanya umkubali mtu au kumkataa ni masafa/frequency mitetemo/vibration na nguvu ya uvutano/ attraction au nguvu ya kupingana/repell.
Yeah walau tunapata mifano zaidi ya hii situationEniwei nikiwa Advance kuna jamaa mmoja, wote wawili hakuna aliyewah hata kupeana hii Ila kila mmoja akimtizama mwenzie anamuona dinosaur aaani
Tukiwa kwenye discussion akaja akasalimia waliokuwepo isipokuwa mm, nikaulizwa na members vipi mbn mna kitu baina yenu...
Nikawaambia hamna kitu ni vile hatuna chemistry ya acids na acids
Nadhani huwa ni hisia baina ya mtu na mtu
Ni kitu cha kawaida kwa binadamu tunaposema fulani simkubali ama hatuendani haimaanishi ni chukiYeah walau tunapata mifano zaidi ya hii situation
True mkuuNi kitu cha kawaida kwa binadamu tunaposema fulani simkubali ama hatuendani haimaanishi ni chuki
Nadhani kunakuwa hakuna kinachowafanya muwe na kuchangamkiana namaanisha!! Hapa hatuzungumzii pesa, vyeo, wala uchawa
Kupitia kusoma tu comments?Hata humu kuna member... ilitokea tu nikamuelewa tu hata sijui ni nini....
Exactly ndio haya ambayo tunajiuliza hapa,kwanini inakuwa hiviNdio nature ya binadamu. Kuna mtu mwingine akikuona tuu, anasonya. Hakujui, humjui. 😊
Na kama kupita comment tayar atakuwa amepata sababu,kupitia comments utakuwa tayar ushamjua mtu hulka zakeKupitia kusoma tu comments?
Hapana hili nakataa,haihusiani na changomto za kiakili,ila kuna feelings au machale unayafili kuhusu mtu husikaLazima kuwe na sababu... Ukiona unamchukia/ kumpenda mtu bila sababu basi una Changamoto ya akili.
Hakika... and i do know why?Kupitia kusoma tu comments?
Lazima uwe mbali na mtu au ata karibu ndo unakuta chemistry na mtu zinaendana kuleta izo feelings?Na kama kupita comment tayar atakuwa amepata sababu,kupitia comments utakuwa tayar ushamjua mtu hulka zake
Hapa tunazungumzia yan hujui chochote kuhusu mtu ila kuna feeling flan unazipata tu