Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

Safiiii ningekua na mdogo wa kike ningekupa kijana mdogo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Sababu hua ipo mkuu
Sema hata mhusika anaweza kuchelewa kujua ila sababu inakuwepo
 
Such a great mind,

Umeelezea katika angle nyingi na zote ziko valid.

A great master is the one who doesn't know about love or hate. All he knows is energy, frequency and vibrations
 
Mkuu maelezo yako nimeyaelewa vizuri yanaleta majibu kwanini huwa tunaenda sawa na watu fulani na kwanini wengine hatuendi nao sawa

Hiyo paragraph ya mwisho mwewnyewe mhusika inamhusu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wengine hufuata mkumbo tu. Na inaenda mbali zaidi kuwalazimisha na wenzao wamchukie huyo mtu. Yaweza kuwa mi nipo upande fulani koiyo ugomvi wenu usiathiri mahusiano ya wengine
Hakika na kuna watu humu JF wanafanya hivyo, nongwa binafsi na kusambaza watu uongo kumhusu mtu.

Ni ujinga wa hali ya juu
 
Mbona soul mates ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Umeanza lini kunikubali na sina taarifa

Asante kwa maoni mjarabu๐Ÿ‘
 
Hii una experience nayo mkuu?
Yaani unakutana na mtu unajikuta upo active kama mnafahamiana kwa muda mrefu na unahisi amani na huyo mtu
Hivi ni kweli hakuna sababu?

Na hapa pia una experience mkuu ilikuaje yaani?
Jambo la kuzingatia ni nishati tu.
Usimfikirie mtu kama mtu au mnyama kama mnyama au mdudu kama mdudu.

Jifunze na tambua jinsi ya ku sense na ku detect energy na kuitumia hiyo nishati positively.

Mfano ukikaa au ukikutana na mtu usim judge au kumtafsiri kwa jinsi alivyo kwa muonekano wa nje jitahidi usikilizie na kuhisi mtetemo, masafa na nishati yake.

Ulishasikia ule msemo damu zetu zinaendana? Bila shaka unaujua.

Issue ni kwamba mmekutana watu wenye energy level zinazofanana au kushabihiana ndio unajikuta unajisikia vizuri zaidi na nguvu.

Ulishapanda daladala yenye mlango wa mbele tu ukakuta siti za mbele zote zipo wazi hazina abiria ila Kuna nafasi Moja ipo nyuma Kuna mtu unajikuta umeacha nafasi zote umekaa naye siti moja for no reason?

Kila kitu Kina energy na jifunze kufikiria, kutenda hata kufanya maamuzi kwa ku consider energy field.
 
Aiseeeee noma sana
 
Mimi ni Dao (asiyeonekana) nilimuumba Dei mwenye kuonekana kwa uzuri

Nikafurusha umakini wangu kwenye usingizi ili kujitafuta kwenye Mhimili wa Dei ili kujipata

Niko hivyo kufanya maisha yasichoshe infinity

Sio mimi ni QUOTE
Usiongeze chupa nyingine๐Ÿ˜
 
Hapa naitaji kiti nikae mkuu nina mkanganyiko aiseee
 
Nitaanzia mbali kidogo

Zingatia huu mfuatano
1.Spirit
2.soul
3.body

1. Spirit (Intuition/ Conscience)
2. Soul (Intellect/emotions/will)
3. Body (Touch/smell/hearing/taste)

Zingatia Tena hapa
Spirit is your CORE
Your spirit is energy
Your spirit radiates energy

Na kingine siku zote spirit ipo kazini inafanya kazi na wewe , inakupa muongozo na protection.

Hapa Sasa angalia namna gani unamjubali mtu au kumkataa bila sababu.


INTUITION VS INTELLECT

1) Your intuition always say Yes or No like binary numbers 1 and 0
Remember this is from deep down your CORE/spirit

Mfano.
Umekutana na Mimi somewhere kwa mara ya kwanza your intuition or inner voice inakwambia yes go and talk to him.

2) Your Intellect always involve reasoning , judgement..

Mfano.
Umekutana na Mimi mara ya kwanza your intuition inakwambia "Yes " go and talk to him
But your Intellect / soul inakwambia Tena " kwanini uongee nae mbona kama anaonekana muhuni"
Again your Intellect will be like "Eleni na dreadlocks haimaanishi muhuni"

Again your Intellect say "Don't judge"


Conclusion
Hiyo Hali ni spiritual
Your Intuition always say "Yay or Nay" and in your consciousness is where your spirit let you know where you were wrong.
 
Shukran sana mkuu
Next tutafungua mada kuhusu jambo fulani ningependa nikuone kama nitakumbuka nita ku tag
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ