Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?



Nakushukuru sana kwa kujazia minofu Gunner11 kuhusu Spiritual practice ndio mkuu.
 
Mbona soul mates πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Umeanza lini kunikubali na sina taafa

Asante kwa maoni mjarabuπŸ‘
Taarifa unazo bana sema tu labda umesahau maana hii siyo mara yangu ya kwanza mimi kujipambania hivi 😜

Ndiyo. Quantum Mechanics inafungua uwanja mpana zaidi wa sayansi mpaka kwenye mambo ambayo huko nyuma pengine yalidhaniwa kuwa hayawezekani au yanawezekana tu katika science fiction. Mambo kama vile time travel, teleportation, quantum computing, worm holes na mengineyo sasa yameanza kuonekana kama yanawezekana japo katika kiwango cha nadharia.

Hebu na tuendelee kutetema katika masafa mgotano please πŸ™πŸΏ
 
Nimeipenda hii
 
Shukran mkuu
Karibu tena
 
Nimeipenda hii
 
Shukran sana mkuu
Karibu sanaπŸ™πŸ™
 
Wewe kwangu ni nani?
Maana mara unicharure mara ufungue uzi au na weww hujui kama unanikubali au hunikubali?
 
Mkuu asante sana sana kama una chakujazia karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…