binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Ebo! π€π€π€Subconscious na process zake zote zina ingia kwenye (vibrations and energy)
Either unajua au haujui una emit a certain vibration kupitia conscious and subconscious processes.
Wanasemaga energy don't lie .Mkuu asante sana sana kama una chakujazia karibu tena
Took me more than 6 good yrs na bado am scratching the surface.Ebo! π€π€π€
Sasa itakuwaje? Ngoja niendelee kujifunza
Duh π Hapana mi naishi zangu kama mnyoo (This is my moms saying) Akimaanisha kuna ulimwengu wako unaishi katikati ya ulimwengu huu ulipo.Took me more than 6 good yrs na bado am scratching the surface.
Inategemea na uwezo wako wa intuition pia, je wewe ni spiritual person? (are you highly sensitive to stimulation) je unaweza kusense energy ya mtu hata kabla hajalitamka neno?
Sure thing, but kuna kitu tayari kiko implanted na kina act kama compass ya maisha yako, either you know it or not.Duh π Hapana mi naishi zangu kama mnyoo (This is my moms saying) Akimaanisha kuna ulimwengu wako unaishi katikati ya ulimwengu huu ulipo.
Nipo kwa chalamila binti wa maarifa π€©Alooooo wasalimie kwa mrombooπ π
Inatokea kwasababu hakuna historia ya ku trigger chuki ndani yako.. It has to do na malezi utotoni. Kama wazazi waliokufanya uwe safe na kutokufanya uishi in survival mode... Unakuwa open to criticism na kujua POV ya muhusika bila kumchukia yeyeMkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Ndo ujue sasa. Na nikikuita soulmate usije ukanigombeza maana uko "mkorofi" sana tu. Nasisitiza tena: Hebu na tuendelee kutetema katika masafa mgotano please! πππShukran sana
sikujua kuhusu hili aiseee
Mfano mdogo tafakari na tafakuri kuhusu maisha ya wadudu kama nyuki, nzi, sisiminzi , vipepeo na wengineo.Mkuu hii ni elimu mpya kwa baadhi yetu, tueleweshe kama tuko vidudu. Kwahiyo kwa mfano mimi nikizaliwa nikaanza kujitambua mimi ni binadamu, Hizo Frequency nazaliwa nazo au nafanya kitu fulani kuzipata?
Swali langu linajibu fact yenu ya kuwa binadamu tunatofautiana hizo energy/frequence.
Aiseee, Somehow nimeelewa. But i will you guys to that.. Nafikiri ni mambo magumu.Sure thing, but kuna kitu tayari kiko implanted na kina act kama compass ya maisha yako, either you know it or not.
Na kina affect what kind of people, places and things into your sorroundingd and awareness. Na hiyo ndo core frequency, ambayo huwezi kuijua kwa kufikiri pekee, unahitaji spiritual practices, either dini, au meditation. But pia ina differ with what works best for you..
Ila pia sio lazima kama unaona maisha yako yako sawa, maana bila kuwa na intention it's all meaningless. Hata mlevi kama anaona fulfillment kwenye kunywa hawezi kuona tatizo. The teacher shows up when you're ready.
Hapa unajiongelea wewe mwenyewe kabisa. Uko mtu poa sana hata uchokozwe vipi sijawahi kukuona ukipaniki wala kujibizana vibaya na mtu humu. You are an impenetrable emotional fortress ende Ai adimaya yu e loti aisee! πMkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
Got you champ, thank you.Mfano mdogo tafakari na tafakuri kuhusu maisha ya wadudu kama nyuki, nzi, sisiminzi , vipepeo na wengineo.
Ulishajiuliza hao viumbe ufahamu wao au upeo wao upoje hadi wanaweza ku adapt na kuishi katika mazingira yao? Wanawezaje ku interact katika mazingira yao?
Nishati ipo ilikuwepo na itaendelea kuwepo. binti kiziwi usitafute nje kitu kilichokuwa ndani mwako.
Hivi ulishakutana na mtu anatafuta miwani aliyoivaa mwenyewe? Au ameshuka funguo ila anautafuta na hajui kama ameshika funguo mkononi?
Hupaswi kufanya chochote kuzipata sababu hizo nguvu,nishati tayari unavyo na zaidi ni wewe mwenyewe.
Lazima uwe na ufahamu mkubwa sana au akili nyingi ili uweze kustahimili chuki na kuzi - neutralize. Ukiwa dhaifu kiakili, takataka za watu zitakutesa sana.Mkimaliza mtuambie kuhusu watu ambao hawawezi kufeel chuki in deep, Yaani anaweza kuchukia kitu/mtu ila sio deep ama anajikuta amesahau, amepotezea au haoni tu sababu ya kuhold onto it. Wanakuwaje, wana nini au wana matatizo gani, since tumekuabaliana chuki ni hisia na ni hisia ya kibinadamu.
It depends na maisha yako kiujumla,historia yako, some people are never designed to know that.. Kwani life path number yako ni ipi? Sijui kuhusu zodiac signs! Ila to some extent navyo vinachangia.. Nilijua baada ya kujua life path number yanguAiseee, Somehow nimeelewa. But i will you guys to that.. Nafikiri ni mambo magumu.
Ma mkwe kwa Nondo Una mwaga moto π€£π€£π€£π€£π€£Lazima uwe na ufahamu mkubwa sana au akili nyingi ili uweze kustahimili chuki na kuzi - neutralize. Ukiwa dhaifu kiakili, takataka za watu zitakutesa sana.
Mimi nimejifunza kwamba watu wengi wanakuwa wabaya au waovu kwa sababu ya ujinga tu. Hawajui wanalolifanya.
They act out of ignorance and they eventually and uncounciously project their inner insecurities upon others.
Tangu nijue hilo, nimekuwa nawapuuza sana. And of course i mock them whenever i get a chance.
Wengi wao ni mabichwa komwe.
Mweh thatβs a lot, Iβm a march first pisces. βοΈIt depends na maisha yako kiujumla,historia yako, some people are never designed to know that.. Kwani life path number yako ni ipi? Sijui kuhusu zodiac signs! Ila to some extent navyo vinachangia.. Nilijua baada ya kujua life path number yangu
π€¦π»ββοΈ Kweli?Hapa unajiongelea wewe mwenyewe kabisa. Uko mtu poa sana hata uchokozwe vipi sijawahi kukuona ukipaniki wala kujibizana vibaya na mtu humu. You are an impenetrable emotional fortress ende Ai adimaya yu e loti aisee! π
Mamkwe jamanii mimi ni zezetaaa πππππππππMa mkwe kwa Nondo Una mwaga moto π€£π€£π€£π€£π€£
Ntaendelea kupambana na wewe, kwanini unajifanyaga mjinga? π