Umepiga ya utosini kabisaBado hujatoa jibu ,Canon Law ni mfumo wa sheria wa Kanisa Katoliki , hautoi social guidance kwa dini kama dini nini kifanyike kwe Mambo ya kijamii.
Kwa mfano, Mkristo akifa akiacha mali, mirathi yake itaamuliwa na sheria ya nchi yake. Lakin Ukristo hauna maelezo nini kifanyike
Hata kwenye biashara, property, mikataba, criminal law na mambo mengine ya kiraia yanaendeshwa na sheria za nchi.
Dini haina ufafanuz na kanuni za watu kufuata, kwa ufupi mkristo hawezi kuishi kwa kufuata mfumo wa Ukristo kwasababu hakuna huo mfumo imekua kama kitu optional kukifata
huu ni upupu wa kirohoKila kitu kimeandikwa ni kutenga muda wako kusoma. Pia Yesu hakuja kutengua torati mkuu jielimishe.
1. Mirathi
Kumbukumbu la Torati 21:15–17
“Akina mtu wawili wakimwoa wake, mmoja apendwaye na mmoja achukiwaye, nao wakamzalia wana, na mzaliwa wa kwanza ni wa yule mke achukiwaye; ndipo itakapokuwa siku ya kumpa wanawe urithi wake, hatamfanya mwana wa mke apendwaye kuwa mzaliwa wa kwanza mbele ya mwana wa mke achukiwaye, aliye mzaliwa wa kwanza; bali atamkubali mwana wa mke achukiwaye kuwa mzaliwa wa kwanza, kwa kumpa sehemu mbili za mali yake yote...
2.Hukumu
Mambo ya Walawi 19:15
“Hamtatenda uovu katika hukumu; hutamfavouri maskini, wala hutamheshimu mwenye cheo; kwa haki utamhukumu jirani yako.”
Kutoka 18:21–22
“Zaidi ya hayo utachagua katika watu wote watu wenye uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wanaochukia tamaa; nawe uwaweke juu yao kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, na wakuu wa makumi; nao wahukumu watu kila wakati...”
3. Migogoro
Mathayo 18:15–17
“Na ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonye faraghani; akikusikia umempata ndugu yako. Lakini asiposikia, chukua pamoja nawe mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike. Na asipowasikia hao, liambie kanisa; na asipolisikia kanisa, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.”
4. Maadili ya Jumla
Mika 6:8
“Ameonyesha kwako, ee mwanadamu, lililo jema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.”
Kwa Israel hizo zipo TU kwenye vitabu haazitumi kama ni msingi wa sheria kwa Nchi.Israel- Inayokuwa na asilimia zaidi ya 70% ni jews wanafata halakha
UAE/Saudi/Brunei - zinazokuwa na zaidi ya 80% ni islam wanaofata sharia law
Bibilia ni kitabu tu kilichoungwaungwa na wajanja wa vatikan , ndio maana wanaweza kubadilisha kwenda na wakati, kwa sasa wakatoliki, walutheri, waanglikan wote wameaafiki ushoga
Dini zote zimetungwa na watuUkristo ni dini aliyotunga Paulo, ukitaka kujua ni watu wakutunga, waulize ZINAA maana yake nini?
Na Muddy aliungaunga kitabu gani??!😂Israel- Inayokuwa na asilimia zaidi ya 70% ni jews wanafata halakha
UAE/Saudi/Brunei - zinazokuwa na zaidi ya 80% ni islam wanaofata sharia law
Bibilia ni kitabu tu kilichoungwaungwa na wajanja wa vatikan , ndio maana wanaweza kubadilisha kwenda na wakati, kwa sasa wakatoliki, walutheri, waanglikan wote wameaafiki ushoga
hizi ndio level za ukilaza pro maxNa Muddy aliungaunga kitabu gani??!😂
Hata Uislamu pia tuna concept ya kutii mamlaka. Qur'an 4:59 inaamuru waumini kumtii Allah, Mtume na ulil-amr (wenye mamlaka), huku utii uwe ndani ya mipaka ya haki.ISHI HUMU
Ndio maana unaona mkristo anaweza ishi sehemu yoyote kwa amani bila kulazimisha jamii iamini mapokeo yake unlike muislamu anaona kila mtu anahitaji kufuata sheria zake.
1. Warumi 13:1–7: “Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.” Paulo anaeleza kuwa watawala ni watumishi wa Mungu kwa manufaa ya watu, na waumini wanapaswa kulipa kodi na heshima kwao.
2. Tito 3:1: Waumini wakumbushwe kunyenyekea kwa watawala na wenye mamlaka, na kuwa tayari kwa kila kazi njema.
3. Waebrania 13:17: Watiini viongozi wenu, maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu.
4. Matendo 5:29: Petro na mitume walisema, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.”
Ukiacha sheria za kanisa wakristo wameamuriwa na biblia kutii mamlaka zilizopo na namna wanavyoziendesha.
Hukuweka hoja..mimi ndo nimeweka hoja. Jibu Muddy aliungaunga kitabu gani kutoka mapangoni?hizi ndio level za ukilaza pro max
umeshindwa kujibu hoja iliyo mezani, unachagua vifungu ili upasi mtihani wa necta
Acha kutofautisha sheria zifuatwe kiserikali au kijamiiKwa Israel hizo zipo TU kwenye vitabu haazitumi kama ni msingi wa sheria kwa Nchi.
Ukija UAE sharia zimebaki TU kwa waarabu wenyewe TU, na sio foreigner's, na sio sharia zoote zinafuatwa ,
Kwani kuna shida gani, kusema hivi inaonyesha upeo wako wa ufahamu dunia inavyokwenda, umeishi maisha yako yote kijiji hicho hicho, tafuta passpoti utoke ukatembee uone duniaSaudi Arabia, Wana anaanda miji Kwa ajili ya high tech na kupokea foreigner's investors, ili kukusa uchumi wa Nchi na kuondoka na utegemezi wa oil, huku wakitumia international law's kwenye hiyo miji na ismlaic sharia ikiwekwa pembeni.
Hili ndio tatizo la kujipatia habari kwenye magrupu ya wasap na chaneli wa wachungaji yutyubuMBS analamika radical islamists wamesababisha Nchi hiyo kudumaa kiuchumi
Mtu akifanyiwa wizi, assault au murder, Roho Mtakatifu atakusaidia au kunena na wewe usilipe kisasi maana imeandikwa kisasi ni cha Bwana.Mimi sijauliza Mkristo anawezaje kuongozwa kiroho au kutambua mema na mabaya. Nimeuliza mfumo wa sheria za kijamii
Objective rules za wazi zinahitajika ambazo zitazotumika kwa jamii nzima,
Haya kama Roho Mtakatifu atamfundisha kila Mtu. kwa fano Mkristo akifa na kaacha mali Roho Mtakatifu anaweza kufundisha kwa mazingira gani kwambs mgao wa watoto uweje?
Au Mtu akifanyiwa fujo ,wizi, assault au murder adhabu yake itaelezwa vipi kupitia roho Mtakatifu.
Maana hapo mtu anaweza kusema Roho amemwambia hiki, mwingine atasema Roho ameniambia nifanye hiki , hawezi kuongoza jamii kwa sheria ambazo Mtu Shahid yeye mwenyewe
Kakojoe ukalale, hii mada imekuzidi kimoHukuweka hoja..mimi ndo nimeweka hoja. Jibu Muddy aliungaunga kitabu gani kutoka mapangoni?
karibu mlokole 😂Mtu akifanyiwa wizi, assault au murder, Roho Mtakatifu atakusaidia au kunena na wewe usilipe kisasi maana imeandikwa kisasi ni cha Bwana.
Pia a carnal man will never understand the ways of the spiritual man, it is useless to teach a carnal man the ways of the spiritual man.
😁😁😁😁Sawa mkuu ila hujajibu, Muddy aliungaunga kitabu gani kutoka mapangoni??! Nani alimpa utume? Ngoja nikakojoe nikirudi nikute umejibu mkuu, mimi nauliza nipate ufahamu tu.Kakojoe ukalale, hii mada imekuzidi kimo
Nimekaa hapa nimetafakari,
Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc
Lakini kwanini Ukristo hauna sheria za kuongoza jamii tofauti kama ilivyo kwa uislamu na Uyahudi.
Kwa mfano , Kwenye Uyahudi kuna Halakha ni mfumo mpana wa sheria za dini unaohusu ibada, familia, biashara, ndoa, talaka, mirathi, chakula, n.k.
Kwenye Uislamu Sisi tuna Sharia/fiqh humu kuna kanuni za dini Ikiwa pamoja na mifumo ya ibada, ndoa, mirathi,chakula, iashara, jinai, n.k.
Lakin Ukristo kwenye Agano Jipya halijaweka mfumo wa kisheria wowote wa kusimamia jamii kwa kiwango hicho, kuna mafundisho tu ya kimaadili na kidini, lakini kwa mambo mengi ya kiraia kama mirathi, mikataba, mali, serikali hamna.
Tunafundishwa kwamba Mungu alimpa Musa Torah kama mwongozo wa maisha ya jamii ya wayahudi ,Digita
Yesu akaja na New Covenant,
Hiyo new Covenant ikachukua nafasi ya Old Covenant (Torah kwa mujibu wenu)
Sasa swali linakuja
Hio new Covenant imeleta wapi mfumo wa sheria unaochukua nafasi ya social guidance ya Torah?
Kama jibu litakua ukristo haukuja kuprovide civil law au kuanzisha political system.
Kwa nini Mungu huyo huyo alitoa civil laws kwa Israelites kupitia Musa, lakini hakutoa mfumo wa aina hiyo kupitia Christ katika New Covenant?
msilete udini wenu wapumbavu nyie, ina maana hamjui mifumo ya sheria imetoka wapi? Sasa fahamuni ukristo ndio unaotawala duniaUkristo ni dini aliyotunga Paulo, ukitaka kujua ni watu wakutunga, waulize ZINAA maana yake nini?
Alqaida, Boko Haram, abusayaf, al shababy, ISIS, yote haya ni msislam, hiyo social shit, imesaidia ni ni?Nimekaa hapa nimetafakari,
Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc
Lakini kwanini Ukristo hauna sheria za kuongoza jamii tofauti kama ilivyo kwa uislamu na Uyahudi.
Kwa mfano , Kwenye Uyahudi kuna Halakha ni mfumo mpana wa sheria za dini unaohusu ibada, familia, biashara, ndoa, talaka, mirathi, chakula, n.k.
Kwenye Uislamu Sisi tuna Sharia/fiqh humu kuna kanuni za dini Ikiwa pamoja na mifumo ya ibada, ndoa, mirathi,chakula, iashara, jinai, n.k.
Lakin Ukristo kwenye Agano Jipya halijaweka mfumo wa kisheria wowote wa kusimamia jamii kwa kiwango hicho, kuna mafundisho tu ya kimaadili na kidini, lakini kwa mambo mengi ya kiraia kama mirathi, mikataba, mali, serikali hamna.
Tunafundishwa kwamba Mungu alimpa Musa Torah kama mwongozo wa maisha ya jamii ya wayahudi ,
Yesu akaja na New Covenant,
Hiyo new Covenant ikachukua nafasi ya Old Covenant (Torah kwa mujibu wenu)
Sasa swali linakuja
Hio new Covenant imeleta wapi mfumo wa sheria unaochukua nafasi ya social guidance ya Torah?
Kama jibu litakua ukristo haukuja kuprovide civil law au kuanzisha political system.
Kwa nini Mungu huyo huyo alitoa civil laws kwa Israelites kupitia Musa, lakini hakutoa mfumo wa aina hiyo kupitia Christ katika New Covenant?
Zinaa maana yake nini kwa mujibu wa vitabu vyenu wakristo?msilete udini wenu wapumbavu nyie, ina maana hamjui mifumo ya sheria imetoka wapi? Sasa fahamuni ukristo ndio unaotawala dunia
Nchi na vyote viiiazavyo ni mali ya Bwana.Nimekaa hapa nimetafakari,