Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

Elewa niliposema Russia ilijitoa vitani kuliko nchi yeyote Europe...

China wakati huo ni kichekesho hawana mbele ama nyuma...

Elewa walipoteza rasilimali nyingi na nguvu kazi, baada ya hapo wakaanza kuijenga nchi yao kurudi ilipokuwa huku wakiijenga na Germany mashariki ambayo waliitawala...

Huyo China alipambana na Japan....

Germany hawakuivamia China, Russia walipambana Germany face to face....

Acha kuandika pumba...
Unaandika ujinga kwa hiyo shida ni madhara ya WWII au nani kapambana na nani ?

Nimekuelezea licha ya China kukumbana na madhara makubwa ya WWII bado pia ilikuwa vitani kwa zaidi ya miaka 20 lakini leo China ipo above Russia.

Kwako wewe shida ni Russia kupambana na Ujerumani jambo linalo kufanya kuaona yeye pekee ndie muathirika mkubwa wa WWII historia ya vita vya japan nchini China umesoma ?

Hivi kuna athari zaidi zinazozidi taifa kuwa vitani kwa wakati mrefu ?
 
Kwa logic hii basi Marekani nayo ni 3rd world country, maana nayo pia haina, sehemu kibao kama Congo watu wana tegemea Ndege.

Hakuna tija kiuchumi kutumia matrilioni ya hela ku connect vijiji ili uingize 50,000
Hakuna tija kwa sababu wewe umesema.

Kwani msingi wa kuweka huduma za kijamii ni kuingiza shillings ngapi ?

Kwa nini hiyo Russia isiwe angalau katika nafasi aliyopo marekani licha ya utitiri wa rasilimali iliyonayo?
 
Wananchi wake wanaishi vizuri lakini that's the point, still hawana welfare kama Nchi Tajiri za Ulaya kama Norway ila Compare na Usa na China hawachekani, nishakuelezea huko nyuma comment reeefu sita elezea tena kasome upya. Kifupi Usa kuna Matajiri wengi kuliko Urusi na masikini wengi pia kuliko Urusi.
 
Toka vita ya urusi na Ukraine ianze ndo nimejua akili za watu humu....watu hawana taarifa,vinginevyo wanaongoza na hisia.anyway ndo mapenzi yalivyo😎
 
Boss sababu mtu mmoja anauza Simu haimaanishi Dunia nzima wauze simu hivi baadhi ya vitu ambavyo Ana Export

1. Mbolea, Mbolea za Urusi zinajulikana Dunia nzima na Nchi zinazolima sana Including Usa wanazitumia.

2. Mafuta na Gesi, sina haja ya kuelezea yanajulikana

3. Nuclear reactors na Boilers, Urusi ni katika Nchi zenye tech ya hali ya juu ya nuclear, Sizungumzii tu Nuclear kama silaha za kuua watu bali matumizi ya Nyuklia kama Source ya Energy na vitu vingine productive.

4. Wana Madini mbalimbali mpaka Almasi

5. Injini zao za Ndege ni one of the best, probably more advanced kuliko Usa, kwa miaka Mingi Usa alikua akitegemea Engine za Mrusi kwenda Anga za mbali.

Kuna mambo mengi sana, Leo hii taifa kama Japan linaondoka kwenye

Kuna mambo mengi sana, Leo hii taifa kama Japan linaondoka kwenye Consumer Electronics haimaanishi Japan hana Technology ila kuna level ukifika unaweza uzia makampuni makubwa ukala hela kimya kimya na makampuni akawa ndio face ya Tech yako.
Sawa mkuu, hivyo vitu ulivyo list hapo vinapatikana nchi kibao. kiduku nae ana Nuclear, pakistan,India ,south Africa n.k Utalaam wa kubuni na kuunda simu hajawai kuwa nao mpaka sasa. Hata Gari made in russia hakuna kuna vi gari vodogo vinaitwa LADA walikopeshwa na urusi
Kampuni ya Cocabs pale Nkruma str. VIgari utazani umekalia mbao ndani.
Putin mwenyewe ile gari engine Benz.

Baada ya mafuta kuwa bei mbaya putin alipiga hela sana akajisahau kutengeneza vyanzo vingine sasa dunia ina hama kutegemea mafuta. Bila maf uta na gesi warusi watakuwa taabani
Swala la muda.tu.
hakuna Engine za ndege za abiria made inRussia . Uhalisia Putin anajimwambafai wakati uchumi mdogo.

NDio maana US ana mnanga sana sababu mchangiaji pesa ndefu WHO, IMF, WORLD BANK, FAO, UNHCR ni US,
google hapo angalia mchango wa Putin. Wenzao wanatoa ni misaada, umewai sikia putin kaleta meli ya mafuta au katupunguzia bei mafuta waafrica!!
 
Wewe ndio wale wale wenye mentality za kutembeza Bakuli. Mtu ana kusaidia 1000 halafu anachota rasilimali zako kwa mamilioni unaona ni sifa kusaidiwa.

1. Hakuna Nchi inayochakata Nyuklia Duniani kushinda Urusi, na huwezi fananisha uwezo wa Urusi na hizo nchi ulizotaja, kama akili yako inafkiria Nyuklia ni makombora basi uwezo wako pia wa kufikiria unaishia hapo. Mfano wa mitambo ya Nyuklia ya Urusi

-Meli za Nyuklia ambazo zinatumika pia kuvunja barafu, Russia peke yake ndio ana meli hizi za Nyuklia.

-Submarine za Nyuklia, na sasa hivi wana mpango pia wa Submarine za Nyuklia za kubeba Gesi mita 360 urefu na 70 upana, ni Nchi 6 tu duniani zinazomiliki nyambizi za Nyuklia na Nchi zote hizo ukizijumuisha pamoja hazifiki idadi meli zao vs Urusi.

Long story short Urusi ndio anaongoza kuchakata Nyuklia duniani, wao peke yao wanachakata asilimia 44 na Rosatom bado ni leaders
Screenshot_20241216-173044_Pixel Launcher.png

Na kila kitu wanafanya wenyewe, sehemu KAMA Usa Nyuklia zao zinamtegemea Mjapan.

2. Engine za Usa zinatoka wapi kama sio Japan? Wote kina Boeing wanamtegemea Mjapan, ndio maana nikakuambia usione mtu yupo kimya sababu hayupo kwenye Consumer space ukajua ni boya tu, kuna watu wapo kimya kimya ila wana Run Dunia.

Russia wanatengeneza engine Nyingi tu maarufu ni RD-180 ambayo ndio inampa Kiburi Usa kwenda Anga za mbali.

RD-180 - Wikipedia

Kuna PD-14 hii hutumika ndege za Urusi

Kuna Yamz engines ambazo zinatumika magari makubwa na vifaa heavy
Na light vehicles kuna Engine za Lada.

Technology hizo za Mrusi na Mchina ndio zina leta balance kwenye Dunia, Technology za bei rahisi ambayo majority wanaweza ku Afford.
 
Nchini Russia tuhuma za ufisadi, rushwa, kujuana n.k vimekuwa vikiimbwa sana midomoni mwa watu.
 
Back
Top Bottom