Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
View attachment 3676114
Sasa masuala ya kulombana si ni maamuzi tu ya mtu...Kuna familia bongo hapa ukienda si mtu wa kabila hilo hawakupi mke.
 
Tujifunze kupenda pale tunapopendwa na kuheshimika. Mimi ni mweusi siwezi kufosi kupendwa na familia ya watu weupe ili hali wao si preference yao kuchanganya damu na watu weusi. Wapo wanawake wengi wa kiarabu wa Yemen, Egypt,oman ,Palestine, Syria na hata Iraq wanakubali kuolewa na watu weusi. Ila nchi za Ghuba za uajemi kuwait,Qatar,bahrain,UAE na pia Jordan na Saudi Arabia huwa hawapendi kuchanganya damu na watu weusi.

Ni watu wanaooana kwa kutizama Nasaba (koo/familia)
 
Yeah na utajiri wao unarithiwa kwa koo na damu zao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…