Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

Status
Not open for further replies.

Geeky thanks well said na umekuja na data since enzi hizo, uliza si tukienda kila mwaka (mwisho wa mwaka ) nyumbani tunataniwa eeh mnaenda kuhesabiwa kumbe yale ndo maendeleo tunaenda kwa audit je mwaka mzima umefanya nini? compared na wenzako wa size yako? challenges zinaanza na kutumia akili kwa hali ya juu
 

Mimi siyo mchaga lakini nawapa big up wachaga bana, haya majamaa akili iko mingi.Tungekuwa na makabila tisa mengine committed kama wachaga tusingehitaji misaada ya wahisani.Wachaga ni risk taker exepected to earn high return.Watanzania wengi ni watoto wa mama, ndiyo maana ukitaka guest nzuri kila mkoa ni za wachaga, ukitaka maduka yenye bidhaa nzuri ni ya wachaga na wamefanya divesification ktk investments zao, kwao moshi walikubali kutoka na kwenda mikoani kutafuta opportunity.
na Lindi wanapata nyama toka butcher za huko badala ya kutoa DAR yote ni sababu ya wasukuma, wamewekeza ufugaji huko, wasukuma leo wamesafiri nasikia wako msumbiji yote hiyo ni risk taking expected high return, mkoa wa morogoro kuienda ifakara utakuta wasukuma wamejaa na uchumi wa kule umepanda sana.

Hongera wachaga na wasukuma mmetuonyesha njia, tatizo sisi watu wa pwani maneno mengi na wivu leo tunapoteza muda kuwasema wachaga ni UJINGA.Sisi watu wa pwani tumeleta na ubaguzi wa DINI HATUFAI KABISA MAWIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU TU
 

Nafikiri una matatizo ya uelewa TANZANIA HAKUNA KITU KAMA KABILA LA WACHAGA ila kuna jamii ya Watanzania wanaoishi mkoa wa Kilimanjaro, tofauti ya mtu anayetoka Marangu na mtu anayetoka Machame, ni kama Mbingu na Dunia, hawausiani kwa lolote isipokuwa Utanzania na Ubantu wao, kama ilivyo kwa jamii nyingine nyingi Tanzania, kwa kifupi acha kutafuta visingizio vya kushindwa kwako kimaisha, fanya kazi na jitume na utafanikiwa!
 
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA

ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!

- 75% walioshika nyadhifa za juu CHADEMA ni wachaga
- 80% ruzuku inayoingia CHADEMA inatumika mkoani Kilimanjaro
 

UMETOKA NJE YA MADA...... Mtoa mada amezungumzia Tanzania.... Na siyo UN, Kenya ama pengine ulipopataja wewe. Muwe mnaelewa mada vizuri kabla ya kukurupuka kujitetea. Nije kwenye utetezi wako potofu....; kwani kuwa na shule nyingi katika mkoa kunasababisha watu kupanda vyeo watu wa mkoa huo??? Mimi ningekusapoti kama mtoa mada angesema wachagga ni wengi kwenye maofisi hapo hoja yako ingekuwa na mashiko.
Mtoa mada amesema ubaguzi wa wachagga kupendeleana katika kupandishwa vyeo......Wewe vipi? Hata kama unadai wachagga wamesoma sana kwani makabila mengine hawajasoma? Mbona makabila mengine yanafanya kazi katika kampuni ama ajira mbalimbali pamoja na wachagga lakini wakati wa kupandishwa vyeo wanakuwa ni wachagga tu??? Kwani wao wamesomea shule za mbinguni???? Jiulize sana na zingatia mada iliyopo mezani badala ya kutumia nguvu nyingi kujitetea kumbe uko off point. Vinginevyo utakuwa unajua ukweli ndio maana unatumia nguvu nyingi kujitetea.
 

off point...............................
 
Mzee unataka Cheo????? Nenda Shule achana Majungu ya office ....
 

Hata wewe bado unachemka HAKUNA KITU KAMA KABILA LA WACHAGA TANZANIA! Hilo Kabila halipo!
 
95% ya matangazo ya vifo vinavyotangazwa Radio One ni ya wachagga. Sasa sijui labda ndio wanakufa sana.
 
Hata wewe bado unachemka HAKUNA KITU KAMA KABILA LA WACHAGA TANZANIA! Hilo Kabila halipo!

Mmeanza kukimbia mada maana inasema ukweli.........................Kwani mtoa mada kuna mahali ametaja neno "kabila la wachagga" ama wewe ndo unachomeka hiyo? Yeye amesema "wachagga" na wala hajaanza na neno "kabila". Hata hivyo kama mimi nimechemka basi huyu aliyeandika hapa chini nae kachemka ama ni mpumbavu kabisa!!!!
Chaga people - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Poa basi najitoa, amini unavyotaka kuamini!
 

Hapo penye red.......
Kila mwaka tungekua tunaenda kutembelea vijijini vyetu...... hali ingekuwa tofauti sana....... utaona jamaa halijaenda kwao miaka nenda miaka rudi...... limepata mke na watoto bado liko Sinza tu halitaki kwenda kwao..... ujinga kabisa.... ungeenda na mkeo na wanao kwenu lazima ungebadilisha kwenu ili ukienda likizo mwaka mwingine unafikia mahali pazuri na pia kuwaboreshea wazee mahali pao pa kuishi.... wachaga kwao wako juu sana ...... pale kwa mzee unakuta umeme unawaka.....nyumba safi.... banda la ng'ombe na mbusi liko mwake...... unakuta mtu anatamani kila mwaka akapumzike kwao....

Nasi pia tubadilike..... tupende nyumbani tulikotoka.... siyo kazi kunywa bia Tabata..... halafu nyumbani kunabaki pori...

Shukrani kwa M-pesa maana wametuwezesha kutuma pesa home badala ya zote kunywea supu Mwenge.....


 
- 75% walioshika nyadhifa za juu CHADEMA ni wachaga
- 80% ruzuku inayoingia CHADEMA inatumika mkoani Kilimanjaro
Nchi yangu Tanganyika...ni nani aliyetuloga?
MAFILILI, wewe ni mnazi wa CCM, ni bingwa wa kuikosoa CHADEMA.
Nitakosea kusema kwamba CCM ndio waanzilishi wa Ukabila na Udini Tanzania?
Nitakosea kusema kwamba CCM ndio imeanzisha na kuendeleza kuwagawa watu kwenye makundi ya Ukabila na Udini?
Kwamba nyie ni Wachaga, wale ni Waislamu, Hawa ni Wamakonde?

Nakuahakikisia akili hii ya uharibifu itaimaliza Tanzania, na baada ya kuimaliza, tutaanza upya.
Wakenya wameondoka kwenye Ukabila, sisi tunaingia kwa Kasi Zaidi, Nguvu Zaidi na Ari ya Mbwa mwitu.
 
Last edited by a moderator:
uchagani enzi za ushirika kipindi kahawa dili kwelikweli ilikuwa na lazima kila mkulima akatwe percent fulan kwenye kila kilo anayouza ili kuchangia elimu ya watoto wa kichanga
 
Ndio maana wengi wanapewa ukubwa wa maofisini sio kwenye siasa.matatizo yao yanafahamika angalia ukabila kwenye cdm
 

Niliwahi uliza inakua aje suala hilo kwa mdau mmoja nikaambiwa ukimkabidhi mchagga mradi ataiba sana tu ila tofauti ni kwamba ataujali mradi wenyewe na maendeleo utayaona so these guys have natural managerial instincts. And guess what?! Nani apendi manager wa namna hiyo?

Kibiashara pia kwanini wanawekeza sana na kujali ardhi mila na tamaduni zao za 'viamba' zinawafundisha kujali viwanja ndio maana moshi suala la kiwanja ni ishu na kesi za viwanja haziishi wala hakuna porini moshi. jaribu kwenda kununua kiwanja kijijini kabisa utaona hilo. jimbo la moshi vijijini viwanja vinauzwa hadi 30m na mtu akiuza kiwanja au nyumba anaonekana mbulura wa mwisho. Na tabia hii wameenda nayo hadi mijini. Mtu anauliza kwanini banking sector inaboom Moshi there's your answer banking huwa inaenda vizuri na assets na ardhi. Suala la kupanda vyeo linakuja na usimamizi mzuri wa majukumu unayokabidhiwa which is tied with ambition these guys are highly ambitious ukitaka kumpata mchagga jaribu kumtrick kwa prospects za promo utaona atavyojitoa. promo zikija unategemea itakuaje.
 
hamtaki kusoma mnalalamika nini?
someni pelekeni watoto wenu shule zenye hadhi...
 
95% ya matangazo ya vifo vinavyotangazwa Radio One ni ya wachagga. Sasa sijui labda ndio wanakufa sana.

Mbona asilimia hoyo hiyo (95%) ya matangazo ya vifo yanayotangazwa Radio Free Africa ni ya kina masanja. Sasa sijui nao ndiyo wanaokufa sana
 
wewe fanya kazi stil wondering how a great thinker can be so weak to lament kwan wanaopandishwaga vyeo ni wachaga tu work hard banaa unajiaibisha nani asiye jua chagga people work so hard na wana njaa ya maendeleo just compare wewe na mchaga hauoni aibu?mwenzio anafanya kazi wewe upo huku unapiga majungu tubadilikeni jamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…